GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Dkt. Msolla amemezwa na GSM hadi Huruma Mkuu. Na cha Kushangaza sasa badala ya Yeye kupigiwa nao Magoti Yeye ndiyo anawalamba Miguu ( anawanyenyekea ) ili wasiondoke Yanga SC.Tatizo mwenyekiti amekuwa Kama taa moja yenye wati tano inayomulika ukumbi mkubwa wa mkutano wenye sq M 5000
Na mimi naunga mkono kama kocha wao luc alivyosemaUtopolo, manyani, uneducated Kila siku wanaonyesha hayo majina hawakupewa kwa bahati mbaya.
Manara kawachomeka huku.Dkt. Msolla amemezwa na GSM hadi Huruma Mkuu. Na cha Kushangaza sasa badala ya Yeye kupigiwa nao Magoti Yeye ndiyo anawalamba Miguu ( anawanyenyekea ) ili wasiondoke Yanga SC.
Chuo alichoasoma china kinaitwaje,ni mwaka gani na cha south africa inapodaiwa alipata degree ya mass comm ni mwaka gani na kinautwajeUkiifatilia elimu ya Haji S. Manara hasa ile aliokwenda isomea China wala hutapata shida kumuelewa Haji, haji sio mjinga kama watu wanavyotaka ieleweke, Haji ni msoni, Haji ni mtoto wa mjini, tena mjini kweli. China alikwenda kusomea PROPAGANDA na anacho kifanya au ambacho amekua akikifanya siku zote kwenye tasnia ya sports ni PROPAGANDA na kafanikiwa sana, hongera Haji, Hongera Yanga, hongera Simba na hongera wazazi wake Haji but shukrani za pekee zimwendee either aliyetoa wazo au na aliyelipa ada ya masomo yake huko China.
Hapa INAZUNGUMZIWA YANGA SHEIKHKwa ujumla Tanzania kuna mambo mengi ya kipumbavu yanafanywa na watu mashuhuri, wanasiasa, viongozi wa dini na wasomi ambao wanaifanya Watanzania wote tuonekane wapumbavu.
Acha Kunishobokea hovyo Wewe Authentic Moron sawa? Mbona hao Wanaokuchomokea 'Kibaiolojia' 24/7 huko Afrika Kusini unakozibua Vyoo na Kufua Nguo Chafu za Makaburu Wazee huko huwataji?Manara kawachomeka huku. View attachment 1973085
Kimojawapo ni kile ambacho yule Janaa huwa anakupindia na akimaliza Macho yako hulegea sana.Naomba kuwauliza wakuu, hivi vile viti walivyong'oa pale uwanjani walipeleka wapi au ndio hivi tunavyokalia kwenye magari ya kwenda Buza
Eti Haji Manara ni Msomi na Bingwa wa Propaganda ya Kusomea nchini China. Kuna Watu ni Fools hapa hadi nawaza kwanini Covid-19 hajjaondoka nanyi.Ukiifatilia elimu ya Haji S. Manara hasa ile aliokwenda isomea China wala hutapata shida kumuelewa Haji, haji sio mjinga kama watu wanavyotaka ieleweke, Haji ni msoni, Haji ni mtoto wa mjini, tena mjini kweli. China alikwenda kusomea PROPAGANDA na anacho kifanya au ambacho amekua akikifanya siku zote kwenye tasnia ya sports ni PROPAGANDA na kafanikiwa sana, hongera Haji, Hongera Yanga, hongera Simba na hongera wazazi wake Haji but shukrani za pekee zimwendee either aliyetoa wazo au na aliyelipa ada ya masomo yake huko China.
Tafadhali Mkuu akikujibu naomba unitagi.Chuo alichoasoma china kinaitwaje,ni mwaka gani na cha south africa inapodaiwa alipata degree ya mass comm ni mwaka gani na kinautwaje
Hilo swali hadi leo sijapata jibu kuna mwingine juzi akadai jamaa enzi zakw alipata division 1 ya points 7 ,one ya enzi hizo????lile lijinga lisiongee kitu ? lisongee na kuposts mapicha ya degree ya south africa na advance diploma ya china????for God sake jamani, mbona wanaogopa kutoa majina ya vyuo anavyodai kasoma?na miaka aliyopata hizo degree na hiyo division 1 ya points 7?Tafadhali Mkuu akikujibu naomba unitagi.
Huhitaji kuwa na ubongo kuishabikia Yanga...Mkuu hawa Jamaa ni Wapuuzi hawana mfano. Wanadhani CAF ni kama TFF walioizoea na Kuipelekesha watakavyo.
Na wakizubaa hivyo Faini itaongezeka.