Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

Tatizo mwenyekiti amekuwa Kama taa moja yenye wati tano inayomulika ukumbi mkubwa wa mkutano wenye sq M 5000
Dkt. Msolla amemezwa na GSM hadi Huruma Mkuu. Na cha Kushangaza sasa badala ya Yeye kupigiwa nao Magoti Yeye ndiyo anawalamba Miguu ( anawanyenyekea ) ili wasiondoke Yanga SC.
 
Utopolo, manyani, uneducated Kila siku wanaonyesha hayo majina hawakupewa kwa bahati mbaya.
Na mimi naunga mkono kama kocha wao luc alivyosema

CEC15023-2BA3-4A09-8697-EAB7FFA5EB0B.jpeg
 
Naomba kuwauliza wakuu, hivi vile viti walivyong'oa pale uwanjani walipeleka wapi au ndio hivi tunavyokalia kwenye magari ya kwenda Buza
 
Halafu tunawakumbusha kama Usafiri wa ndege umewashinda kuna option ya kukodi bus la Azam kwa route ya Dar-Tunduma-Zambia-Botswana
 
Ukiifatilia elimu ya Haji S. Manara hasa ile aliokwenda isomea China wala hutapata shida kumuelewa Haji, haji sio mjinga kama watu wanavyotaka ieleweke, Haji ni msoni, Haji ni mtoto wa mjini, tena mjini kweli. China alikwenda kusomea PROPAGANDA na anacho kifanya au ambacho amekua akikifanya siku zote kwenye tasnia ya sports ni PROPAGANDA na kafanikiwa sana, hongera Haji, Hongera Yanga, hongera Simba na hongera wazazi wake Haji but shukrani za pekee zimwendee either aliyetoa wazo au na aliyelipa ada ya masomo yake huko China.
 
Chuo alichoasoma china kinaitwaje,ni mwaka gani na cha south africa inapodaiwa alipata degree ya mass comm ni mwaka gani na kinautwaje
 
Manara kawachomeka huku. View attachment 1973085
Acha Kunishobokea hovyo Wewe Authentic Moron sawa? Mbona hao Wanaokuchomokea 'Kibaiolojia' 24/7 huko Afrika Kusini unakozibua Vyoo na Kufua Nguo Chafu za Makaburu Wazee huko huwataji?

Kama kujifanya kote Mjanja na umetenbea na kuishi nchi nyingi Kuandika vyema Jina la Esther umeshindwa na Umeandika Easter ya nini nipoteze muda nawe Juha?

Hopeless Wewe.....
 
Naomba kuwauliza wakuu, hivi vile viti walivyong'oa pale uwanjani walipeleka wapi au ndio hivi tunavyokalia kwenye magari ya kwenda Buza
Kimojawapo ni kile ambacho yule Janaa huwa anakupindia na akimaliza Macho yako hulegea sana.
 
Ukiifatilia elimu ya Haji S. Manara hasa ile aliokwenda isomea China wala hutapata shida kumuelewa Haji, haji sio mjinga kama watu wanavyotaka ieleweke, Haji ni msoni, Haji ni mtoto wa mjini, tena mjini kweli. China alikwenda kusomea PROPAGANDA na anacho kifanya au ambacho amekua akikifanya siku zote kwenye tasnia ya sports ni PROPAGANDA na kafanikiwa sana, hongera Haji, Hongera Yanga, hongera Simba na hongera wazazi wake Haji but shukrani za pekee zimwendee either aliyetoa wazo au na aliyelipa ada ya masomo yake huko China.
Eti Haji Manara ni Msomi na Bingwa wa Propaganda ya Kusomea nchini China. Kuna Watu ni Fools hapa hadi nawaza kwanini Covid-19 hajjaondoka nanyi.

Angesoma angefukuzwa Redio ya CCM pale Lumumba na Vyeti vyake vya Taaluma kuwa na Ulakini? Manara mkimsifia ni Bingwa wa Propaganda akina Nape, Makamba na Nchimbi wao watakuwa nani?
 
Tafadhali Mkuu akikujibu naomba unitagi.
Hilo swali hadi leo sijapata jibu kuna mwingine juzi akadai jamaa enzi zakw alipata division 1 ya points 7 ,one ya enzi hizo????lile lijinga lisiongee kitu ? lisongee na kuposts mapicha ya degree ya south africa na advance diploma ya china????for God sake jamani, mbona wanaogopa kutoa majina ya vyuo anavyodai kasoma?na miaka aliyopata hizo degree na hiyo division 1 ya points 7?
 
Mkuu hawa Jamaa ni Wapuuzi hawana mfano. Wanadhani CAF ni kama TFF walioizoea na Kuipelekesha watakavyo.

Na wakizubaa hivyo Faini itaongezeka.
Huhitaji kuwa na ubongo kuishabikia Yanga...
 
Gent
Mkuu,mzunguko club bingwa afrika ndo umekurudisha nn jamvin,mie Simba mwezako

Uliaga ukienda shamba matikiti vipi ruaha mbuyuni yamekupiga au uliyapatia
 
Back
Top Bottom