Ukiifatilia elimu ya Haji S. Manara hasa ile aliokwenda isomea China wala hutapata shida kumuelewa Haji, haji sio mjinga kama watu wanavyotaka ieleweke, Haji ni msoni, Haji ni mtoto wa mjini, tena mjini kweli. China alikwenda kusomea PROPAGANDA na anacho kifanya au ambacho amekua akikifanya siku zote kwenye tasnia ya sports ni PROPAGANDA na kafanikiwa sana, hongera Haji, Hongera Yanga, hongera Simba na hongera wazazi wake Haji but shukrani za pekee zimwendee either aliyetoa wazo au na aliyelipa ada ya masomo yake huko China.