Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)

Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili

Kulikuwa na ziwa Tandale😅
Ziwa Mwananyamala😂
Ziwa Magomeni😅

Mto Sinza😅

Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye ndio anaifahamu vyema (joking)

 
Serikali ina makosa makubwa sana, usiitetee Serikali mkuu.

Tuna mipango miji mibovu kuwahi kutokea. Eneo kama bonde la mto Msimbazi ilitakiwa kuwa kivutio, sehemu ya recreation, ila kilichopo bonde lile kinasikitisha, ni uchafu, ni majengo yamekaribiana na mto, kila kitu kipo hovyo. Bahati mbaya/nzuri watawala wanapenda kusaifiri, wanaona kwa wenzetu kulivyo, ila they care less.
 
Si lazima kuishi Dar
 
Mkiishi Dar mnajiona mpo TANZANIA, pambaneni na hali zenu.
 
Buza walikuwa hawaijui napo kuna MTO..
 
Mengine ni majanga tu, doesn't mean kwamba watu . Wamekaa maeneo ya maji.
Sehemu gani ya Sinza iliyokua ziwa ambayo hivi sasa ni makaazi ya watu? Magomeni ipi iliyokuwa ziwa?
Haya mafuriko ya sasa angalau mtu akiniambia ni matokeo ya watu kujenga bila kujenga miundombinu ya barabara na mifereji, pia nyumba zao kuzungushia ukuta wakati si kila maeneo ya ujenzi wa hizi nyumba za makaazi zinahitaji ukuta. Hata aina ya kuta zinazotakiwa ni zile za mbao na nyaya.
 
miaka 11 mjengoni ila unaandika kama ndege flani kapita
 
Ile mikocheni mzee si bahari kabisa lakini sasa hivi mijengo ya kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…