PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Upo sawa, Mikocheni, Msasani na Mbezi Beach, yale maeneo wayback yalikuwa ni Majaruba ya kulimia Mpunga, baadaye wakawanalima michichaIle mikocheni mzee si bahari kabisa lakini sasa hivi mijengo ya kufa mtu