Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

Ile mikocheni mzee si bahari kabisa lakini sasa hivi mijengo ya kufa mtu
Upo sawa, Mikocheni, Msasani na Mbezi Beach, yale maeneo wayback yalikuwa ni Majaruba ya kulimia Mpunga, baadaye wakawanalima michicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…