Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
AiseTone tone za jamii forums
AiseTone tone za jamii forums
Hujanikosea chochote msamaha wa nini.Naomba na samahani sana
Kumtumia namba yako ya NIDA na barua ya M/kiti wa mtaa ndo masharti magumu?Masharti...magumu sana
Kunikopesha tyu Jamani narejesha naombaKumtumia namba yako ya NIDA na barua ya M/kiti wa mtaa ndo masharti magumu?
Ni ngumu kupata hela ya bure kirahisi kwa mtu asiyekujua hata unafanana vipi.
Hizi nyuzi za kuomba pesa zigeuze za kuomba kazi.
Usipojiangalia watu watakutumia vibaya!Kunikopesha tyu Jamani narejesha naomba
Noted 🙏Usipojiangalia watu watakutumia vibaya!
Nimekwambia uombe kazi, bado unaniambia ukopeshwe utarudisha.
Akili yako umeiweka kupewa tu, halafu wewe mwanaume.
Kijana wa Kigamboni fanya kazi.!
Unaishi wapi?Yap nafamilia ila kuna situation zangu zimeyumba sana
ManyaraUnaishi wapi?
Anatakiwa achapwe fimbo mbele ya hadharani huyu, labda akili zitamjiaUsipojiangalia watu watakutumia vibaya!
Nimekwambia uombe kazi, bado unaniambia ukopeshwe utarudisha.
Akili yako umeiweka kupewa tu, halafu wewe mwanaume.
Kijana wa Kigamboni fanya kazi.!
Sawa Pya...Natakiwa achapwe fimbo mbele ya hadharani huyu, labda akili zitamjia
Kumbe ni kijana wa kigamboni?Usipojiangalia watu watakutumia vibaya!
Nimekwambia uombe kazi, bado unaniambia ukopeshwe utarudisha.
Akili yako umeiweka kupewa tu, halafu wewe mwanaume.
Kijana wa Kigamboni fanya kazi.!