WAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATU MAPENZI NA FISI BLA YA WAO KUJUA 22, 23 & 24 MWISHO
Lakini tofauti na nilivyotegemea yule jamaa hakumuingia fisi, badala yake alikuwa akigeuka geuka kuangalia kushoto na kulia! Ni kama fisi hakumuona hivi.
“ We dada…we dada..” Aliniita. Sura yake ilijaa hasira isivyo kawaida.
“ Nimeumbuka..” Nilijisemea moyoni.
“ Wewe dada kumbe mchawi sio…wewe dada….wewe dada ..’ ALiita kwa ukali.
Niliduwaa nikiwa sijui nifanye nini!
Kila kitu nilichotakiwa kukifanya nilikuwa nimekifanya, tena kwa usahihi. Sikujua imekuwaje akanshtukia. Fisi alikuwepo pale na umble la langu. Ajabu yule jamaa hakumuinga, aligeuka kushoto na kulia kunitafuta.
Nikiwa sielewi nifanye nini , gafla kwenye kona moja ya kile chumba alitokea mtewele akiwa na mkia wa ngombe. ALimpiga yule fisi na pale pale yule jamaa alimfata na kumuingia.
“ Kumbe ulikuwa hapa hapa halafu sikuwa nakuona..” ALiongea yule mtu. ALimshka fisi izuri sana na kumuingia pasipokutumia kinga.
Alihangaika nae na kugalazana nae kwa zaidi ya nusu saa kisha akafika mshindo.
‘ Toka nizaliwe sjawahi kukutana na mwanamke mtamu kama wewe! Asiee nakuongeza hela, shika hii.’ ALinipa hela nyingine kisha akaondoka.
Mtewela alisogea mbele yangu.
‘ Inabidi uwe makini sana! Kosa moja linaweza kukuharibia kila kitu. Ulichokosea hukumpiga na huu mkia ili aweze kuonekana kama mtu katka mazingira ya kibinadamu ili mteja wako aweze kumuingia.” Aliniambia.
Nilitikisa kichwa kukubaliana nae! Ilikuwa kweli, sikuwa nimefanya yote yanavyotakiwa. Mzee mtewela hakukaa sana, aliniaga na kuondoka muda ule ule.
Hakuchukua muda alifka mteja mwingine.
Kama wa mwanzo nilimweleza dau langu akalipa! Alfanya alchofanya kisha akaondoka pasipokujua kalala na fisi, kama ilivyokuwa kwa yule wa kwanza. Nae alinisifu na kunipongeza kuwa ni mtamu kuliko wanawake wote.
Sikushangaa yeye kunisifu vile, maana wote waliokuwa wakilala na mimi waliniita lucy mtamu.
“ wangejua wanalala na fisi wala wasingesema.” Nilijsemea moyoni.
…………………
Basi toka hapo ndo ulikua mchezo wangu! Kadri siku zilivyokuwa zinaenda wateja walizid kuongezeka. Kila aliyefika kwangu siku ya pili alirudi tena.
Ongezeko kubwa la wateja llinifanya niongeze dau ili kuwapunguza. Kutoka elfu 20 sasa nikaweke elfu 50! Pamoja na dau hilo bado wateja walikuwa wengi sana. Kwa muda mfupi nilikusanya hela nyingi sana. Nilifungua akunti benki na kuzifadhi.
Nilipanga ikifika milioni 50 niache ile kazi .
Nilipga hesabu na kugundua ndani ya miezi saba tu ninaweza kupata milioni 50, hii ni kutokana na kupata hela sehemu mbili. Nlipata hela kwa mtewele baada ya kumuuzia mbegu pa nilipata hela kwa wateja.
Siku moja majira ya jioni baada ya kufunga biashara nilipata ugeni wa binti ambaye n chotara wa kiarabu.
“ Samahni wewe ndio lucy?” ALiniuliza
‘ Ndio mmi ndio.” Nilimjibu.
“ Sawa.” ALiitikia, bila kumkaribisha alisukuma mlango na kuingia ndani.
Nilimfata.
“ Samahani dada!’ ALiniambia. Alitoa leso na kujifuta usoni.
“ Nakusikiliza.”
‘ Nimekuja nahitaji msada wako! Mume wangu amekuwa mlev wa penzi lako! Hela yote anayopata analeta kwako, mbya zaidi akija nyumbani ananitukana sana.. Naomba msaada wako niiokoe ndoa yangu.’ Aliniambia akiwa analia.
Nilishangaaa.
“ Tafadhali naomba nisaidieee…nisaidieeeee..mwenzio watoto wamefukuzwa shule… hela ya matumzi nyumbani haachi ni tabu juu ya tabu..nsaidie mwenzio..” ALiniambia yule binti akiwa analia.
“ Mume wako anaitwa nani?” Nilimuuliza.
‘ Obedi..” ALinitajia.
Obedi ni kweli alikuwa mteja wangu, tena yeye aliweka bila kabisa, kila mwezi alikuwa ananipa milioni moja ya kufanya nae. Alikuwa akija anaingia tu anashiriki na kuondoka. Niliwaza nitamsadia vip yule binti lakini sikuwa na namna.
Nilimpa pole na kumtaka aondoke! Nilmweleza nipo kazini na sina namna ya kumsaidia kwenye lile. Kishingo upande aliondoka.
…………….
Siku ya pili yake baada ya yule dada kuondoka biashara yangu iliendelea kama kawaida, niliwahudumia wateja wengi sana na kupata kipato kama ilivyokuwa kawaida, lakini majira ya saa kumi jioni, alikuja mteja ambae sura yake ilikuwa mpya kwangu! Alilipa hela kama ulivyotaratibu. Nilimwita visi kchawi na kumpa sura yangu.
Lakini tofauti na nilivyotegemea, yule mkaka hakumuingia yule fisi. ALinitazama kisha akawa anacheka..
WAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATEJA MAPENZI NA FISI BILA YA WAO KUJUA 23
Lakini tofauti na nilivyotegemea, yule mkaka hakumuingia yule fisi. ALinitazama kisha akawa anacheka..
“ Wewe dada kumbe mshenzi sanaaaa..” ALiniambia.
“ Mbona tunatukanana broo.. sikia, kama hutak shika hela yako uondoke..” Nilimwambia huku nikimkabidhi fedha yake. Aliichukua ksha akaitupa chini. ALingiza mkono kwenye suruali yake na kutoa simu.
Alpiga na kuiweka sikioni.
“ Nilichokuwa nawaza ndio hicho hicho..mumeo anafanyishwa mapenz na fis ndio kama kaweukaaaaaa..’ ALiongea yule mkaka. Meneo yake yalinishtua na kuniacha mdomo wazi. ALikuwa kashaelewa kla ktu kuhusu biashara yangu.
Nililowa.
“ Njooo sasa hivi.” Yule kaka almwambia mtu ambae sikuwa namjua.
“ Unamwita nani?” Nilimuulza, badala ya kunijibu alisogea mlangoni na kufungua mlango akaingia yule dada aliyekuja kuniomba nikae mbali na mumewe.Ile kuingia tu, yule dada alivamia kwa vibao.
‘ Shenz wewe unamfanyisha mume wangu mapenzi na fis..shenzi..shenziiii..” ALbwata yule dada. Yule mkaka almtaka yule dada atulie. ALitulia.
Aligeukia mimi.
“ Dada ninauwezo wa kuwaonesha watu fis wako na kla ktu kinachofanyika humu ndani.”
“ Tafadhal usfanye hivyo.’
“ Sitafanya hivyo! Ila tumia mbinu unayoijua mume wa huyu dada asije tena hapa. Pia tunaomba uturudishie hela yote ambayo alikuwa anakupa.” Alniambia.
Nilitulia kutafakari.
Il kulnda kazi yangu na siri yangu nikubal kuwapa hela alizonipa yule mbaba, nilichukua simu yangu na kuhamisha hela kutoka benki had kwenye simu yao. Nliwatumia milioni moja na nusu cash.
Hawakuongea neno wakaondoka.
“ Uuuuh’ Nlihema kwa uchovu baada ya kubaki peke yangu. Niliweka vtu vyangu sawa. Nilivuta pumz na kuact kama hakuna jambo llilotokea.
………………….
Siku ya pili y niendelee na biashara.
Wanume wengi walifka. Niliwafanysha mapenzi na fsi pasipowao kujua. Raha ya fis iliwafanya wanipe hela nying! Wengi wao walilpa hela zaidi ya ile waliyotakiwa kunipa.
Na kadri muda ulivyokuwa ukienda wateja walikuwa wakiongezeka, yaan kla sku watu walikuwa wengi kulko jana yake.
Kwa upande wa yule mbaba ambae mke wake alfka kulalamika sikumuona tena!
Sikuya tatu mbele, majira ya usku baada ya kuwamamaliza wateja wote mzee mtewele alifika chumbani kwangu k kuchukua mbegu za wanaume waliolala na fisi. Kwakutumiia uchawi alimshika fisi na kuzitoa zile mbegu.
Akiwa anafanya hivyo, gafla tu, pasipokutarjia, mzee mtewele alizimwaga mbegu zote chin.
“ Kulikoni?” Nilmuuliza.
“ INabidi utafute fsi mwingine.” ALiniambia.
Aliendelea.
‘ Huyu kachoka sana! Maumble yake yameharbwa vbaya na pia kapata magonjwaaaa. Inabidi ununue fisi wengine wawili ili wawe wanapeana zamu, pia itabidi tuwakinge kichawi.”
“ Kwani huyu hukumkinga?”
“ Nilisahau.” ALijibu. ALiniambia bei ya fisi wengine nikamkubaliia. Nilimlipa hela usiku ule ule. Majra ya saa nane usiku akaja na fisi wawli wa kichawi. Tuliwafanyia dawa akaniambia wapo tayari kuendelea na kazi.
Nlimshukuru.
……………..
Siku ya pili yake asubuhi, kama ilvyo kawaida niliamshwa na wateja. Sikulaza damu. Nilkusanya hela zao na kuwafanyia mazingaombwe, kama siku zote walifanya mapenzi na fis wangu pasipokujua.
Majira ya saa nane, biashara ikiwa imechanganya katika hal isiyokuwa ya kawaida, nlimuona Mama mwajuma akija kwangu akiwa na mabaunsa pamoja na mumewe.
WAKATI NAJIUZA NLWAFANYSHA WATEJA MAPENZI NA FIIS BILA YA WAO KUJUA 24.
Majira ya saa nane, biashara ikiwa imechanganya katika hali isiyokuwa ya kawaida, nilimuona Mama mwajuma akija kwangu akiwa na mabaunsa pamoja na mumewe.
Tembea yao na maneno waliyokuwa wakiongea yaliwafanya watu weng sana wawafate kwa nyuma.
Walifika had mlangoni kwangu na kuingia ndani kwa nguvu.
“ Lucy…lucy….lucy….” ALiita kwa shari Mama mwajuma. Walipga vitu na kuvitupa hovyo. Wanaume waliokuwa kwenye foleni walishangaaa. Baadhi walwashka kuwatuliza lakni walizidiwa nguvu na mabaunsa wa Mama Mwajuma.
“ Kuna nini mbona unaniletea fujo?” Nilimuuliza.
“ Kama unataka kuendelea na biashara yako hama huu mji..” ALiniambia akiwa kanikazia macho.
“ Aaaah! wewe nani hadi uniamishe ?”
“ Kwahio uhami si ndio?” ALiniuliza.
“ Ndio..’ Nilimjibu.
Kwa hasira, Mama Mwajuma alitoka nje.
“ Wote mlikuwa mnaingia chumba hiki mlikuwa mnafanya mapenzi na fisi… Kati yenu hakuna alyewahi kulala na lucy hata siku moja.” ALiongea Mama mwajuma. Aaaaah. Watu walduwaaa. Kauli yake ilizua balaa pale nje.
Watu walipiga kelele na wengine walitaka kuingia ndani kumuona fisi.
“ Huyu mshenzi kaona nimemzid kibiashara kaamua kuniharibia.” Nilijisemea moyon kwa uchungu mzito.
Watu nje walipiga kelele na kumtaka Mama mwajuma awaoneshe fisi. Mama Mwajuma alichukua kopo dogo na kulifungua. Alijimwagia unga mkononi kisha akageuka na kuumwaga ndan kwangu, ile kuumwaga tu, fisi wangu wote watatu walionekana.
Aliwapisha watu wakaingia ndani.
Hakuna alyeamini! Wote walijiziba midomo kwa mshangao. Akili yangu ilifanya kaz haraka nikaona pale hapakuwa salama kwangu. Haraka nilichukua vitu muhimu kwangu na kujiweka tayari kwa lolote.
Wakiwa wameduwaa nilijipenyeza kati kat yao ili niweze kuondoka.
‘ Subiri..subiri…yaan wewe wakunifanyisha mmi mapenzi na fisi..’ Mmoja wa wateja wangu aliniambia. ALinishika mkono na kunivutia kwake. Puuh! Nilipigwa ngumi mgongon na mtu nisiyemjua.
Puuuh! Puuuh. Nilipigwa tena na tena.
Kipigo kikiwa hakijachanganya, vijana wengine walinisaidia.
Ilikuwa vita kubwa, ila nashukuru niliwafanikiwa kutolewa pale na kwenda kufungiwa kwenye chumba cha kahaba mwenzangu nyumba ya kumi kutoka pale.
Nikiwa ndani peke yangu,niliangala vtu vyangu muhmu nlivyovibeba. Vyote vilkuwepo. Lcha ya kipigo sikuviacha. Nilichukua ule mfuko wangu na kuongea maneno kadhaa wale fisi wakatokea mbele yangu! Niliongea tena wakapotea na kuingia kwenye ule mfuko wa dawa.
Uuuuh. Nilhema na kushukuru .
Nilifikir chakufanya baada ya lile tukio nikaona hamna namna nyngine zaidi ya kuacha ile kazi. Niliangalia hela iliyokuwa kwenye simu yangu ilikuwa inatosha kabisa mimi kuanza maisha mapya sehemu nyingine.
Wakat nawaza nitaenda kuishi wap na nitafanya shughuli gani, mlango wa kile chumba ulisukumwa wakaingia makahaba wenzangu kama sita hiv! Niijua wamekuja kunipiga au kunisuta kwa kle nlichofanya.
Haikuwa hivyo.
Walikuja kuniomba niwafundishe na wao wafanye kama nilivyokuwa nafanya mimi! Wote walitaka wapate fisi na wao wafanye biashara kama mimi.
“ Kwakuwa naacha hi kazi acha dawa niwape hawa. Tena watakuwa wananilipa.” Nilijiambia moyoni.
Niliwataka waniache peke yangu kwanza nifikirie.
Walikubali.
Haraka haraka nilimwita Mzee Mtewele akafka.
Nilimweleza klichotokea na mpango wangu wa kuacha kazi.
“ Kwakuwa mbegu zinakusadia sana bila shaka hawa wadada ukiwapa dawa na wao wakawa wanafanyisha mapenzi watu na fisi itakusadia.” Nilimwambia.
‘ Ni kweli, lakini ili ifanakiwe hawatakiwi kuwa sehemu moja, kla mmoja akae mbal na mwenzake..” ALiongea mzee mtewele.
Nilikubaliana nae.
Jioni baada mtewele kuondoka niliwaita wale makahaba na kuongea nao. Niliwaambia yote tuliyoongea na mzee mtewele.
Walikubali.
Siku ile ile nlianza kuwafundisha.
Japo moyo wangu ulikuwa hautaki ila niliwafundisha ili niweze kuachana kabisa nay ale maswala na pia mtewele asinisumbue.
……………….
Siku kadhaa mbele wote waliweza, kila mmoja alienda kwenye mji wake kuendeleza biashara. Binafsi nilihama mtaaa.Sikutaka tena kuwa karbu na wao wala mama mwajuma, nilihamia mbezi mwisho maeneo ya malamba mawili. Nilipanga na nikafungua biashara ya duka la nguo.
Mpka sasa linaendelea na ninaishi vizuri! Maswal ya ukahaba na uchaw nimesahau kabisa. Naishi kwa amani zote, na ninapata hela halal kupitia biashara yangu ya nguo
Nimeamua kusimulia kisa hiki ili kuwaonya watu wote wenye tabia ya kununua makahaba, sio nzuri, ni mbaya sana. Unachukua nuksi na mikosi kwa kulala na wanyama pasipowewe kujua. Pia kwa wale ambao mnaenda kwawaganga kutafuta watoto. Acheni. Ni hatari sana.
Mwisho.
Usisahau napatikana whatpp kwa namba hii 0768315707 pia unaweza jiunga na group la story kupitia hii linkk [emoji120][emoji1370][emoji1370][emoji1370]
WhatsApp-Gruppeneinladung
BAADAE tunaanza na story Mpya[emoji120][emoji432][emoji120]