Jose Author
Senior Member
- Jun 21, 2022
- 113
- 251
- Thread starter
- #161
Ni balaa kweli kweli maana shaban hatakuta kitu tena
Kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni balaa kweli kweli maana shaban hatakuta kitu tena
Dah sometime wanaume tuna ukatili sana
Acha kuchangia changia humu mzee wewe kazi yako ni kuandika story tu unatuchelewesha..Kabs
Acha kuchangia changia humu mzee wewe kazi yako ni kuandika story tu unatuchelewesha..
Anord ni Ng'wanacheshiWAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATU MAPENZI NA FISI BILA YA WAO KUJUA 10
“ Ulienda wapi lucy? Mbona umenitesa sana..nilikuacha chumbani, kwanini uliondoka?”Aliniuliza.
‘ Uuuu..aaaaa…” Nilishikwa na kigugumizi.
“ Unayemuulizia sio mwanajeshi wala nini! ni kibaka tu wa hapa mtaani.” ALiniambia muuza chipsi.
“ Ulikuwa unamuulizia nani?” ALiniuliza shaban.
Sikumjibu.
Shaban alinishika mkono tukasogea pembeni. Maumivu ikulu kwangu bado yalikuwa makali sana. Nilisogea pembeni nikiwa nachechemea.
“ Naomba niambie..ulikuwa wapi?” Aliniulza.
“ Nilipoteaa.. ulivyotoka nami nilitoka kukufata..bahati mbaya nikapoteaa.” Nilimwambia nikiwa namsogelea.
“ Toka muda ule nilikuwa nakutafuta pasipo mfanikio. Tena sijala toka muda ule.” Niimwambia. Shaban alimsogelea muuza chipi na kuagiza chipsi. Nusu saa mbele zilikuwa tayari.
“ Twende..” ALiniambia.
Nilimfata.
‘ Eeeeh! Mbona unachechemeaaa.. umefanya nini?” ALiniuliza.
“ mguu tu unauma.” Nilimdanganya.
Tuliendelea na safari.
Tukiwa tunakaribia, kwa mbele nilimuona anord akiwa na mwanamke mwingine.
“ Aaaah!’ Nilishangaaa.
Moyoni nilikumbuka maneno ya muuza chipsi na jinsi alivyocheka baada ya kumwambia kuhusu anord. Akili yangu ilifanya kazi haraka nikagundua nilikuwa nimeingizwa mkenge. Nilitamani kumvamia na kumuuliza sababu ya kunifanyia vile nilishindwa. Nilijikaza tukapishana nae.
Mbaya zaidi tukiwa tunapishana, anord ni kama hakuwa ananiona hivi! Alikuwa bize na mwanamke wake.
“ Unamwona yule jamaaa..’ Shaban aliniambia.
‘ Ndio.”
“ Yule jamaa anaitwa anord! Anakaa chumba cha pili kutoka changu. Nazani unakumbuka nilikutambulisha.”
“ Ndio nakumbukaa.”
“ Basii kaaa nae mbali..hafai hata kidogo..juzi juzi tu hapa alifumwa na mke wa hamisi.. tena alikuwa anamdanganya yeye ni mwanajeshi..” ALiniambia shaban. Niligeuka kumwangalia tena Anord moyo wangu ukiwa unauma sana.
Tulifika nyumbani.
Kwa muda mchache niliokuwa na shabani niligundua Shaban alikuwa na upendo sana, aliniweka zile chipsi nikala kisha akaniwekea maji bafuni nikaenda kuoga. Baada ya kuoga na kila ktu kuwa fresh tuliipanda kitandani kulala.
Lakini ile tumelala tu, shaban alinikumbatia kwa nyuma.
Alinionesha salama.
“ Muda ule ulikataa kwakuwa sikuwa na salama… nimenunua hizi hapa..” ALiniambia.
Mmmmh.
Nilijikuta nimeguna moyoni! Maumivu kwenye maungo yangu bado yalikuwa makali sana. Kidonda kilikuwa kibichi kabisa. Nikiwa nawaza nimjibu vipi, Shaban alinifunua shuka, haraka haraka alinishika kiuno na kuivuta nguo yangu ya ndani.
Nakuja
Kwaiyo ndio kusema imeisha sio?
Qqmmmkk 🤣🤣🤣🤣Acha kuchangia changia humu mzee wewe kazi yako ni kuandika story tu unatuchelewesha..
mkuu ukishapelekwa kwa group whatsup ujue uku hatuna chetuKwaiyo ndio kusema imeisha sio?
Na sisi uko hatuendi kamwe..mkuu ukishapelekwa kwa group whatsup ujue uku hatuna chetu