An unintelligent head spews out the nothingness that it contains.Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Huyo ni kiongozi wa CCM siyo wa nchi, we ni nani uwachagulie kiongozi wao? Fanya mambo yako achana na yasiyokuhusuHiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Sawa wa ccm, maisha binafsi ya wapinzani yeye yanamhusu nini?Afanye yakeHuyo ni kiongozi wa CCM siyo wa nchi, we ni nani uwachagulie kiongozi wao? Fanya mambo yako achana na yasiyokuhusu
Analilia wakuanishwe na Viongozi wa CDM kwenye mdahalo! kwa akili zake ndogo sijui hata ataongelea nini zaidi ya Maparachichi!Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Mwenezi anaeneza mada zinazopendwa na audience yakeHiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Mngempotezea tu. Kumbukeni cheo chake ni katibu mwenezi ni mambo ya proganda tu kama enzi za Nape walipomshambulia na kumuaibisha rais wa mioyo yetu ndugu Lowassa.Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya Viongozi wa vyama vingine na namba za akaunti zào za Benki.
Nadhani hajapata taarifa kuhusu Idadi ya Suti wanazomiliki vinginevyo tungeambiwa hata rangi za vitambaa.
wanaCCM tulihitaji Kiongozi tumepewa Kiongozi.
Wanaofanya ujinga ujinga ndo waheshimiwa Kwa CCM.Zaidi ya kutaka Zitto auwawe .kuchapa viboko hadharani watu wazima Arusha na jijini huko kuchangiws birthday party ya mkewe kwa mapato ya halmashauri na kuwa mkimbiza mwenge mstaafu ana sifa gani ya wadhifa alopewa?
Mauzauza Kaka.CCM ilishapoteza dira miaka mingi iliyopita.
Hivi kweli Yusuph Makamba, D. Chongolo, A. Migiro, waliteuliwaje kuwa makatibu wakuu!!??
Teuzi za hao zilikuwa ni matusi kwa wana CCM wasomi waliolelewa kuanzia kwenye misingi ya TANU.
Bado hatujaenda kwenye jumuiya za chama, eti Kawaida,Maganya,Chatanda,Hapi, Jokate nao wamekuwa viongozi wa UVCCM, UWT na WAZAZI!!!
Hivi kweli leo tumfananishe Makamba/Chongolo/Migiro na Kawawa/Gama/Kolimba!!?
Kihongosi. takataka hiiKiongozi.