Wakati nchi ikiwa kwenye vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, kwa nini ofisi za ardhi za mkoa ziliendelea kutoa hati kwa matapeli wa ardhi?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa matapeli, na wana hati za ofisi yako.

Nimetoa angalizo la awali tu
 
Hiyo ndio ilani ya ccm, ni wizi na ufisadi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…