Wakati nchi nyingine duniani hutafuta wasanii wachekeshaji Japani wanahitajika wasanii wanaoweza kumfanya mtu aangue kilio sio kicheko!

Wakati nchi nyingine duniani hutafuta wasanii wachekeshaji Japani wanahitajika wasanii wanaoweza kumfanya mtu aangue kilio sio kicheko!

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Duniani hakuishi vituko

Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi

Jionee video mwenyewe

Watu wanaolialia hovyo Kama Watanzania ni kwa sababu ya maisha magumu yaliyoletwa na mashetani ya CCM,sasa Japan yenye maisha Bora huwezi kuona watu wanalia lia Kama Tanzania ya ma CCM
 
Back
Top Bottom