Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Watu wanaolialia hovyo Kama Watanzania ni kwa sababu ya maisha magumu yaliyoletwa na mashetani ya CCM,sasa Japan yenye maisha Bora huwezi kuona watu wanalia lia Kama Tanzania ya ma CCM