mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nimesoma Law School. That place is hell.Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204
Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi hishia kunawa tu!!
Kama kuna wanaofaulu bila kustahili ina maana na upande wa pili wapo wanaofeli lakini hawakustahili kufeli bali hawakutendewa haki kwa kutokutoa ushirikiano kwenye rushwa!! Mungu wa mbinguni awakumbuke wale wanaoporwa haki yao!!Nimesoma Law School. That place is hell.
Kwa mfano, Cohort moja inaweza kudahili wanafunzi 600, wakafaulu 79, waliosalia ni supp na disco. Mbaya zaidi, walimu wanajisifia kwa kufaulisha wanafunzi wachache!
Na sio wote wanaofaulu wanakuwa wamestahili, wengi wanafaulu kwa njia batili mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na fedha, connection (kwa mfano watoto wa Majaji na watendaji wakubwa Serikalini) n.k.
No wonder ndio maana tunakuwa na Mawakili incompetent mtaani. So sad!
Hivi ukidisco unaruhusiwa kudahiliwa upya au ndio basi safari na ndoto zinakuwa zimeishia hapo?Nimesoma Law School. That place is hell.
Kwa mfano, Cohort moja inaweza kudahili wanafunzi 600, wakafaulu 79, waliosalia ni supp na disco. Mbaya zaidi, walimu wanajisifia kwa kufaulisha wanafunzi wachache!
Na sio wote wanaofaulu wanakuwa wamestahili, wengi wanafaulu kwa njia batili mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na fedha, connection (kwa mfano watoto wa Majaji na watendaji wakubwa Serikalini) n.k.
No wonder ndio maana tunakuwa na Mawakili incompetent mtaani. So sad!
Amen to the prayer!Kama kuna wanaofaulu bila kustahili ina maana na upande wa pili wapo wanaofeli lakini hawakustahili kufeli bali hawakutendewa haki kwa kutokutoa ushirikiano kwenye rushwa!! Mungu wa mbinguni awakumbuke wale wanaoporwa haki yao!!
Unaruhusiwa mkuu. Ila uwe ume-disco kwa kutofanya mitihani vizuri.Hivi ukidisco unaruhusiwa kudahiliwa upya au ndio basi safari na ndoto zinakuwa zimeishia hapo?
Nimesoma Law School. That place is hell.
Kwa mfano, Cohort moja inaweza kudahili wanafunzi 600, wakafaulu 79, waliosalia ni supp na disco. Mbaya zaidi, walimu wanajisifia kwa kufaulisha wanafunzi wachache!
Na sio wote wanaofaulu wanakuwa wamestahili, wengi wanafaulu kwa njia batili mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na fedha, connection (kwa mfano watoto wa Majaji na watendaji wakubwa Serikalini) n.k.
No wonder ndio maana tunakuwa na Mawakili incompetent mtaani. So sad!
Kama kuna wanaofaulu bila kustahili ina maana na upande wa pili wapo wanaofeli lakini hawakustahili kufeli bali hawakutendewa haki kwa kutokutoa ushirikiano kwenye rushwa!! Mungu wa mbinguni awakumbuke wale wanaoporwa haki yao!!