Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Meneja Patrick Rweymamu

2. Mratibu Abbas

3. Kipa Aishi Manula

4. Beki Shomary Kapombe

5. Beki Pascal Wawa

6. Nahodha John Boko

7. Kocha Selemani Matola

Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.

Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.

Cc: Frank Wanjiru
 
Magoli yote kafungisha yeye(Manula) na Wawa. Udhaifu wake wa kucheza mipira ya juu umedhihiri tena na yule beki mzee Wawa hapendi kucheza mipira ya kichwa.

Madhaifu yaleyale ya mechi ya Kaiser Chiefs ndio yamejirudia leo na Galaxy walichukua play book kutoka kwenye mechi hiyo.

Onyango na Kennedy walistahili kucheza mechi ile na sijui ni kwa nini huyu Wawa huwa hafanyiwi sub hata siku moja.

Hao ma-Godfather uliowataja wameisha jihakikishia namba zao katika timu huwa hawafanyiwi sub.

Swala la Gomez kufukuzwa nimeliongelea sana humu kwani ni kocha wa hovyo sana.

All in all, naunga mkono hoja.
 
Wale wachezaji wanastahili lawama 100% ni wazembe sana, nikisoma ulichoandika na aina ya magoli tuliyofungwa naanza vipi kukupinga kuwa wale wajinga wamekula pesa za watu?

Seriously kuna mafaza uchwara Simba SC wanatakiwa waondoke, huyo Manula akiwa mmoja wao, hili lisiachwe lipite, sio waende shirikisho wafuzu makundi halafu tusahau, hakuna, huu uzembe unatakiwa kushughulikiwa 100%

Na hao mabeki uliowaandika nao vile vile, hawafai, wamekaa Simba muda mrefu wanajiona wamekuwa mabosi, hawana tena fighting spirit uongozi wa Simba unatakiwa kuwapunguza wale wazee ikibidi kijengwe kikosi upya.

Wameifanya Simba SC imekuwa timu ya kipuuzi isiyotabirika hata kama wakiwa na ushindi wa aggregate ya 3-0!, wale watu wazima hawaijui game management? uchunguzi ufanyike wahujumu watupwe motoni bila kujali majina yao.
 
1. Meneja Patrick Rweymamu

2. Mratibu Abbas

3. Kipa Aishi Manula

4. Beki Shomary Kapombe

5. Beki Pascal Wawa

6. Nahodha John Boko

7. Kocha Selemani Matola

Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.

Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.

Cc: Frank Wanjiru
Pacha wa DON nalimison kiakili.
 
Mkuu nilisema washabiki wa Simba ni wanafiki ulikataa. Nakukumbusha tu kuwa wewe mwenyewe ulileta uzi humu ukasema hakuna kipa bora Africa mashariki kama Manula lakini cha ajabu leo unamkataa unasema bora Kakolanya.
 
1. Meneja Patrick Rweymamu

2. Mratibu Abbas

3. Kipa Aishi Manula

4. Beki Shomary Kapombe

5. Beki Pascal Wawa

6. Nahodha John Boko

7. Kocha Selemani Matola

Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.

Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.

Cc: Frank Wanjiru
Mkishinda haya hamyasemi Ila mkipigwa ngiri mnaibuka na mikwara kibao

Shida siyo wachezaji, shida ni uchawi

Lzm mkili hilo
 
Magoli yote kafungisha yeye(Manula) na Wawa. Udhaifu wake wa kucheza mipira ya juu umedhihiri tena na yule beki mzee Wawa hapendi kucheza mipira ya kichwa. Madhaifu yaleyale ya mechi ya Kaiser Chiefs ndio yamejirudia leo na Galaxy walichukua play book kutoka kwenye mechi hiyo. Onyango na Kennedy walistahili kucheza mechi ile na sijui ni kwa nini huyu Wawa huwa hafanyiwi sub hata siku moja. Hao ma-Godfather uliowataja wameisha jihakikishia namba zao katika timu huwa hawafanyiwi sub.
Swala la Gomez kufukuzwa nimeliongelea sana humu kwani ni kocha wa hovyo sana.
All in all, naunga mkono hoja.
Uongo wenu unawaletea shida mwaka Jana mkahonga msicheze mechi ya ligi Ili mjiandae kuingia nisu fainali mkachoma waya , mwaka huu nako mkachomekea kuahilisha mechi ya ligi kisa muingie makundi

Na kweli mmeingia nendeni mkale makundi ya viazi
 
Back
Top Bottom