GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tushanyoosha mikono juuPopoma mbona mmeanza mapema sana kushikana uchawi aiseeee,sasa mtamaliza msimu salama kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes yeye na dilunga walujitahidi sana wakamuudhi kocha akawatoa.kwa sababu walikuwa wanawasumbua watswanaMorrison kaupiga mwingi sana 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Ndo tumejua uwezo wake😂😂takataka,,morrisson nae asimamishwe..timu inataka matokeo yeye anapanda mpira.Ila Gomes hakuna kitu mule.... Yule awe wa kwanza kufukuzwa.....
Watu wameuza match kwanza wameona hawana mda mrefu simba so lazima wachukue pension zao mapema
We ukiona mpaka viongzi wanasema hadharan jua kunashida sehem mambo yanayo fanyika ndani ya Simba ni ujinga mtuInatia mashaka sana. Aina ya like goli la pili huwa zinafungwa kwenye mechi za watoto wa miaka 12 kushuka chini.
Pacha wa DON nalimison kiakili.1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.
Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.
Cc: Frank Wanjiru
Mkuu nilisema washabiki wa Simba ni wanafiki ulikataa. Nakukumbusha tu kuwa wewe mwenyewe ulileta uzi humu ukasema hakuna kipa bora Africa mashariki kama Manula lakini cha ajabu leo unamkataa unasema bora Kakolanya.1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.
Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.
Cc: Frank Wanjiru
Mkishinda haya hamyasemi Ila mkipigwa ngiri mnaibuka na mikwara kibao1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani kabisa kuwa ameshasema mno kuwa Golini awe anakaa Beno Kakolanya ila hana Nguvu kwakuwa Kipa Aishi Manula anapendwa na Wakubwa huku wengine akila nao 10% za Posho na Mshahara wake.
Simba SC kwa sasa Ina Nuksi nyingi tu.
Cc: Frank Wanjiru
Uongo wenu unawaletea shida mwaka Jana mkahonga msicheze mechi ya ligi Ili mjiandae kuingia nisu fainali mkachoma waya , mwaka huu nako mkachomekea kuahilisha mechi ya ligi kisa muingie makundiMagoli yote kafungisha yeye(Manula) na Wawa. Udhaifu wake wa kucheza mipira ya juu umedhihiri tena na yule beki mzee Wawa hapendi kucheza mipira ya kichwa. Madhaifu yaleyale ya mechi ya Kaiser Chiefs ndio yamejirudia leo na Galaxy walichukua play book kutoka kwenye mechi hiyo. Onyango na Kennedy walistahili kucheza mechi ile na sijui ni kwa nini huyu Wawa huwa hafanyiwi sub hata siku moja. Hao ma-Godfather uliowataja wameisha jihakikishia namba zao katika timu huwa hawafanyiwi sub.
Swala la Gomez kufukuzwa nimeliongelea sana humu kwani ni kocha wa hovyo sana.
All in all, naunga mkono hoja.