Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

Hyo ni personal interest ,je? Tutakulewa
 
MKUU WEWE JAMAA UNA MAJUNGU SANA. HIVI MPIRA WENYEWE ULIANGALIA?

WEWE UNADHANI GALAXY NI TIMU NDOGO NA MASKINI KAMA BIASHARA MARA?

ILE MECHI YA KWANZA BAADA YA SIMBA KUFUNGA MBILI ZA HARAKA HARAKA ULIONA MPIRA ULIOCHEZWA? KAMA MNA AKILI MSINGEJIAMINI KUPITA KIASI. HIYO TIMU NI NZURI SANA.
 
Simba haijawahi kuwa timu ya mawinga mkuu , na declare interest mini yanga , Simba ifanye buildup ipate watu wa kuhold mipira , si Wana ajibu pale , Simba ingekuwa inatumika winga Zaid Morison angekuwa na uhakika na namba msimu uliopita , lakn Sasa Simba Haina chama ndo inawalazimu kutumia winga that's y Morison ndio tegemezi, ingekuwa ya mawinga isingemuondoa perfect chikwende,

Hata usajiri wa Morison haukuwa ni wakimahitaji Zaid Ila ulikuwa ni wa figisu na kukomoana , yanga walimuhitaji Morison kuliko ambavyo Simba inamtumia,

Mtu Kama sarpong Simba ndio ilikuwa akacheze kutokana na mpira walionao jamaa angefunga sana, Morison alikosea kwenda Simba kiufundi Ila alipatia kiuchumi, ndio maana Simba walimuhitaji Khalid aucho kuliko yanga ili wajenge timu ya pasi ....upande wa yanga

Kuhold mipira mda mrefu sio utamaduni wetu hata siku moja...sisi ni mawinga tu ndio maana Morison , kisinda , ngasa , msuva na wengineo waliwika pale wakapotea baadhi waliposepa, na ndio maana yanga game inapoanza wanatumia wings Zaid wanashinda then wakianza kupiga pasi hawapati goli kabisa sio utamaduni wetu na kunasiku itatugharimu na ttapata sare tusipokuwa makini,

Kwakuwa maendeleo hayana chama na ni kwaajili ya taifa Zima , Simba sajilini viungo wengi wafungaji wapo tu achaneni na mawinga akina Morison itawagharimu sana msimu huu
 
Bila shaka wewe utakuwa ni kundi lile ambalo kocha mmoja mzungu aliwahi kulifundisha akaseme lina watu hawajui kitu wanabweka tu kama manyani, kwakua hujui kitu na unabweka tu kama nyani,Kwa faida yako tu,hakuna mechi ambayo inachezewa lupaso nikakosa kuingia na kuangalia labda niwe sipo nchini,na labda mechi za timu ya taifa ya wanawake ndio uwa sina interest nazo.
Kama uliangalia na unasema watswana ni wazuri ebu eleza walikuwa wazuri upande upi? Hujui chochote,wewe kula banana na rukaruka kwenye miti ukitua mti huu na kurukia mti ule.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini kwa kipindi hiki cha mpito mpaka dirisha dogo Simba hawana ujanja lazima wa "adopt" mpira wa moja kwa moja wa kutumia mawinga kwa sababu hawana watu wa kukaaa na mpira na kuanzia kupanga mashambulizi kuanzia nyuma.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini kwa kipindi hiki cha mpito mpaka dirisha dogo Simba hawana ujanja lazima wa "adopt" mpira wa moja kwa moja wa kutumia mawinga kwa sababu hawana watu wa kukaaa na mpira na kuanzia kupanga mashambulizi kuanzia nyuma.
Sijui itakuwaje huu msimu
 
Simba wakifungwa ni hujuma, jana Man United alipigwa mkono ✋ na Liverpool lakini inakubalika timu ilizidiwa uwezo, sasa eti Simba wao hawapaswi kufungwa.

Is the Simba invincible??
 
Shomari bado mzuri na kacheza vizuri ila Tshabalala poor making
Wawa poor concetration
 
KWA HIYO SIMBA HASTAHILI KUFUNGWA? YEYE AFUNGAGE TUUUU!

HAO MLIWAFUNGA BOTSWANA WAKAJIPANGA WAKAJA MAPEMA. ACHENI DHAMBI ZA KUSINGIZIA MANULA KAUZA MECHI. HUO NI USHETANI.

MPIRA UNA MATOKEOA MATATU.
KAMA BARCELONA ANAFUNGWA SEMBUSE SIMBA, WAPUMBAVU WAKUBWA NYIE.
ACHENI KUSINGIZIA WATU. MLIZIDIWA KILA KONA.
 
Kikulacho ki nguoni mwako...matatizo enu msiyahamishie Yanga pambaneni na hali yenu..hakuna cha senzo wala aliyekuwa namba moja...
 
Umenena vyema. Kuna wajinga wanampa lawama wakati mpira wote tumeuona.
sub ya dilunga ilikuwa na maana gani? kama siku alivyomtoa mechi na utopolo Djuma shaban akaanza kuwa free? lwanga alicheza mda mrefu akichechemea team ikapanuka katikati...kwa nini kennedy hakuingizwa atoke wawa asiyetakaga kuruka vichwa?
Kam alitaka wawa abaki kwa nini alivyotoka lwanga Inonga asingesogea sita, kennedy akaingia?

baada ya morrison na dilunga kutoka nini kilifate? je Rally bwalya ni namba 10 kweli, kwa nini wachezaji walikuwa wakikimbia na mpira pembeni katikati hakuan watu ni formula gani anafundisha mazoezini?
 
Namba moja ni Moo dewji
Hafai kubaki simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…