Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

Kikulacho ki nguoni mwako...matatizo enu msiyahamishie Yanga pambaneni na hali yenu..hakuna cha senzo wala aliyekuwa namba moja...
Kwa kilugha chetu kilembwe ni kisimi cha mwanamke,soma tena inaonekana hujaelewa chochote
 
Mwijaku pia nisimkute pale klabuni kesho
Kwani pale club ya Simba kuna kiongozi huwa anakwenda pale?

Huyo Babla hajawahi hata siku moja kufika pale Msimbazi.

Huyo Mo Dewji nadhani alifika msimbazi mwaka 2003 baada ya Simba kuwatowa Zamaleki msafara ulitoka airport hadi msimbazi, tangu mwaka huo hakuna muhindi amewahi kwenda Msimbazi.
 
Kwa ufupi Simba imefungwa kutokana na uzembe wao wenyewe. Suala la kuhujumiwa hiyo ni gia tu yakutokea. Hakuna hujuma wala nini na sijui kwa nini Simba wanakubali luingia kwenye siasa za hovyo kiasi hiki. Suala la muhimu lilikuwa ni kujipanga upya na shirikisho na ligi na hii mechi ya Galaxy wangeitumia kama funzo kwao. Lakini wakiendelea kumtafuta mchawi aliyewahujumu ni wazi mpaka sasa hawajui walikosea wapi wakati hata watu wasio na utaalamu wa mpira wameona wazi makosa yalikuwa wapi. Simba bado ina wachezaji wazuri ni namna gani unamtumia mchezaji fulani kwenye mechi ipi na ni mfumo gani utumike kwenye mechi ipi ndio suala benchi la ufundi linatakiwa lijikite huko na sio hizo stori za uongo na kweli za kutaka kusingizia watu kuwa timu ilihujumiwa.

Narudia tena hakuna hujuma kwenye mechi ya jana. Kama kulikuwa na hujuma basi ni benchi la ufundi ndilo lilijihujumu lenyewe kwa kufanya mabadiliko ya hovyo kabisa kwa kuwatoa wachezaji wenye kaliba ya kushambulia na kukaba na kuingiza "attack minded plyers" kiasi Simba ikakosa uwiano wa kukaba na kushambulia. Na pia benchi la ufundi kuruhusu timu icheze mchezo wa wazi wakati tayari ina ongoza magoli 3 kwa ujumla badala ya kufunga hesabu na kupaki treni kama sio meli kabisa.
 
Nionavyo mimi ni kuwa Simba ililidhika sana na matokeo ya ugenini,na pia ilitakiwa Simba baada ya kutoka Botswana ingecheza japo mechi moja ya ligi hii ingewapa umakini sana ya hii mechi,yaani ni bora wangecheza mechi ya ligi wakafungwa ila wakapata fitness ya jana ya kucheza na waswana
 
Kweli mkuu. Simba wamefungwa kiufundi sio kiuchawi wala kuuza mechi.
 
ELEWENI TU HUJUMA ILIKUWEPO HATA MAGORI N A MO WALIPEWA CHANCE YA KUZUIA WAKAPUUZA JANA WAKAISHIA KUJUTA NA TWEETS ZAO HALI NI TETE MNOOO
 
Kwa kilugha chetu kilembwe ni kisimi cha mwanamke,soma tena inaonekana hujaelewa chochote
Matusi ya nini...na mimi kilugha chenu hakinihusu.....muhimu ni kuwa mpambane na hali zenu msitafute mchawi nje ya club yenu...kelele nyiiiingi timu lenyewe mmesajili la kucheza ndondondo cup!
 
ELEWENI TU HUJUMA ILIKUWEPO HATA MAGORI N A MO WALIPEWA CHANCE YA KUZUIA WAKAPUUZA JANA WAKAISHIA KUJUTA NA TWEETS ZAO HALI NI TETE MNOOO
Bado naamini hakuna hujuma yoyote. Na hata kama hujuma ilifanyika basi hiyo hujuma ilikuwa ya hovyo na isingeweza kuaithiri Simba kuibuka kidedea. Boko kakosa goli mbili za wazi, Rally Bwalya kafunga moja kakosa moja ya wazi. Peter Banda kakosa nafasi tatu za wazi yeye na golikipa tena dakika za mwishoni mwishoni, Morison kakosa moja, Kanoute Kakosa moja, Kapombe kakosa moja, n.k.
 
Na zile tuzo za mchongo mlizopewa na Tff zina nuksi? Eti beki bora ni Mohamedi!!!!
Mchezaji bora eti ni John Bocco 😁😁

Golipicha bora ni Manyula 😁😁

Mfuga ndevu bora ni Morrison 😁😁

Thimba bhana!! Timu ya kawaiiida!! Kila siku ni kuingia tu uwanjani na matokeo yao mfukoni! Huwa hawataki kabisa kujifunza na kubadilika.
 
Mliambiwa kocha hana vyeti mkaona mnahujumiwa
Timu eti inaajiri kocha Ngumbalu ambaye kwenye mechi za Kimataifa zote anakaa jukwaani na mashabiki!! Hawa jamaa Rage aliwapendelea sana kuwaita Mbumbumbu!!

Maana walistahili kabisa kuitwa Ndezi!
 
Umenena vyema. Kuna wajinga wanampa lawama wakati mpira wote tumeuona.
Kuona 'Highlights' tu ITV za huo Mchezo Simba SC dhidi ya Jwaneng Galaxy ndiyo kuiona Mechi nzima?
 
Eti Babla badala ya Barbara. Nut Wewe!
 
Mkuu nilisema washabiki wa Simba ni wanafiki ulikataa. Nakukumbusha tu kuwa wewe mwenyewe ulileta uzi humu ukasema hakuna kipa bora Africa mashariki kama Manula lakini cha ajabu leo unamkataa unasema bora Kakolanya.

Wewe Kichwa yako haina Akili,Inawezekana sababu ya Umri wako Mdogo
Jamaa kasema hao kuna Kitu wamehujumu,
Unaweza Kuwa Bora lakini ukahujumu Then ukihujumu inaondoa Credibility ya Ubora wako unaondoka tuu...
Sasa nini Ukikuwa huelewi
 

Nimekuelewa sana sana Mwamba....
Kama hizi Tuhuma Hujuma ni za Kweli!
Naomba MUNGU afanye Kazi yake,
Either kuoitia Mkono wa Serikali Au MUNGU mwenyewe....
Mkuu nina swali hapo,
Hivi Kwani hata kama CEO angekubali kuwaweka Kambi angewanyang’anya simu? Si bado wangewasiliana na wahunumu kwa Simu tuu hata Kama wapo Kambini?na Mzigo ukawekwa kwa Bank account?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…