Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza swali 'Hivi Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu ya hili'?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu?

Akauliza maswali magumu kidogo
1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je wanaruhusiwa kuchungulia maendeleo yake?

2. Je, ikitokea Rais amezidiwa na taarifa hawataki Zi leak nani anapaswa kuwanyang'anya walio karibu Simu na kuziweka kapuni wasitoe Taarifa?

3. Je, Hata Kama anaumwa maagizo yanaendelea kutolewa kutumia simu yake,Mfano kuidhinisha Malipo hata kuchukua pesa hazina ya nchi husika? Na nani anashika simu ya Rais anapokuwa amelazwa au anafanyiwa operation?

4. Maswali mengine Sina majibu yake, mfano kauliza swali zito sana eti Mfano ikatokea mtu akataka ajitangazie madaraka wakati rais anaumwa na ikagundulika he Rais akipona anaweza kumfunga, au so Mpaka kufungana bali unamdemote tu?

5. Maswali mengine Bwana mdogo anauliza je Kuna mtu anaweza organize kuchukua nchi bila kuhusisha jeshi?

6. Je jeshi Linaweza Kataa Kumuunga mkono kama kataka kuwatumia kupindua je unakuwa ni uzalendo au Ni Kuona pesa waliyotangaziwa haikidhi matakwa?

TUMJIBU DOGO MI MASWALI YAMENIELEMEA,

BRITANNICA
 
We britanicca , kumbe na wewe uliingia kingi za yule mzushi wa Twita?.
  1. Duniani kote, kiongozi yoyote akiwa mgonjwa ni yeye, familia yake na dakitari tuu. Walinzi ni nje na sio ndani, japo mimi sio mtu wa kule, lakini baada tuu ya kufika mlangoni kwa rais na rais kuingia ndani, walizi watasubiri hapo nje. Dr. Hastings Banda alikuwa daktari bingwa magonjwa ya wanawake alimtibu hadi Malkia, Elizabeth II wa Uingereza, sasa ili kujihakikishia, shetani asije akamtembelea, kabda Dr. Banda hajaachwa pekee na malkia, walikuwa wanamdunga sindano ya nusu kaputi jule 'jamaa' asije akasimama akamnaniliu Malkia. Sasa one day anayemdunga akizidisha kiwango (sijui ni bahati mbaya au makusidi), lakini baada ya kumaliza kumtibu Malkia, kale 'kajamaa' amka... amka na wewe!, ikawa ndio basi tena!. Ndipo wakaamua kumpa zawadi ya urais wa maisha wa Malawi!. Banda hakuzungumza lugha nyingine yoyote zaidi ya Malkia, hakuwa na ndugu yoyote, hakuwahi kuoa, wala hakuwa na mtoto. Hivyo mgonjwa ni dakitari tuu na familia. Ila kwa vile rais ni mtu, at the same time is an institution, serikali pia hujulishwa.
  2. 2.Je ikitokea Rais amezidiwa na taarifa hawataki Zi leak nani anapaswa kuwanyang'anya walio karibu Simu na kuziweka kapuni wasitoe Taarifa?
    Kwa vile mwenye taarifa ya hali ya mgonjwa ni dakitari, akizidiwa, daktari anaieleza familia na mtu wa serikali, kwa mfumo rasmi wa mawasiliano ya kiraisi serikalini, na VP anajulishwa. Kwa kilichotokea huku kwetu sikijui, ila baada ya yule mzushi wa twita kuzusha, na yule jasusi wa uskochi kupewa taarifa za uhakika kuwa mambo ndio vile, akatoa breaking news kwenye you tube.. PM aliahirisha ziara yake Njombe na rais wa Zanzibar aliahirisha kila kitu. Huku wakati tunasubiria taarifa rasmi, mara tukasikia VP ziarani Tanga!, tukajua ule ni uzushi. Kwenye hotuba, tukapewa salaam. Mara kesho yake jioni ndio tukatangaziwa. Inamaana hali ilibadilika ghafla ndio tukatangaziwa kilicho tokea.
  3. 3.Je Hata Kama anaumwa maagizo yanaendelea kutolewa kutumia simu yake,Mfano kuidhinisha Malipo hata kuchukua pesa hazina ya nchi husika? Na nani anashika simu ya Rais anapokuwa amelazwa au anafanyiwa operation?
    Kwa sisi watu wa nje, kujua hilo ni ngumu, ila usiamini ule uongo wa yule mzushi wa twita, kuwa kuna mtu alipigiwa simu na kupewa maelezo kwa mdomo kupitia simu ya rais. Huo ni uongo. Serikali inafanyakazi kwa maandishi tuu. Mengi yote yanaweza kutolewa maagizo kwa mdomo, ila mambo mawili, 1. Mambo ya fedha. 2. Official order yoyote, hata ya mdomo hufuatiwa na maandishi.
  4. 4.Maswali mengine Sina majibu yake, mfano kauliza swali zito sana eti Mfano ikatokea mtu akataka ajitangazie madaraka wakati rais anaumwa na ikagundulika he Rais akipona anaweza kumfunga, au so Mpaka kufungana bali unamdemote tu?
    Hakuna kitu kama hicho, huo ni uongo na uzushi tuu. Tena hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang!. Itoshe naomba niishie hapa. Nakutakia Ijumaa Kuu Njema. P
 
Story ya banda ni story za vijiweni tukiwa wadogo hazina ukweli banda ana uzao wake malaw
2.simu ya rais muda mwingi anakuwa nayo mpame wake
3.huwezi kupindua nchi bila baraka za jeshi
4.madaktari wa rais wote ni wana kitengo so wale walinzi unaowaona kwenye tv ni sehemu ndogo tu ya walinzi wake
5.akiwa nyumbani buheri wa afya walinzi wanaishia mlangoni
6.akiwa mahututi kuhusu malipo gavana atashauriana na makamo wa rais na wakuu wengine kabla ya kutoa hela.
7.rais anaweza kulazwa hoi ila makamu na prime minister wasijue alipo zaidi ya mkuu wa tiss na cdf
 
Maswali ya kitoto sana hayo. Maswali ya msingi ni haya hapa:

1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi daily lazima wampe morning briefing Rais. Je, wasipomuona siku kadhaa wanatakiwa wachukue hatua gani?

2. Viongozi wa baraza la ulinzi wanaotakiwa kupokea ripoti daily wakiwa na Rais wanatakiwa kuchukua hatua gani wasipomuona siku kadhaa kwenye daily briefing?

Etc.
 
Pasco nae Ni mbabaishaji tu Kama wababishaji wengine.
Anawadharau wa vujishaji wa tweeter anajua source zao?
Mbona na yeye Pasco anakoseaga Sana.
Unajua wale jamaa wa tweeter huwa Mara nyingi wanapatia isipokua mfumo ukiona amepatia Kama Kuna nafasi ya kurekebisha hurekebisha fasta ili kuwaprove wrong watu wale wa tweeter.
Lakini watu hao wa tweeter huwa wanapewa nyeti hizo wazivujishe kwa makusudi au huwa wanapotoshwa kwa makusudi kwa lengo maalum la wavujishaji.

Afya ya Rais Ni suala la taifa hivyo linahusu Usalama wa taifa. hivyo walinzi wa Raisi a ni lazima wawepo karibu na mgonjwa na baadhi ya ndugu wa karibu au mke inategemea.
Daktari peke yake hawezi kuachwa na mgonjwa hata Kama daktari Ni usalama angalau wengine hata wawe nje ya chumba.kwa sababu walinzi pia hawaaminiani yasije yakatokea ya Raulel Kabila.
Kupindua nchi hakuna fomula Bob,inategemea na udhaifu uko wapi.kuna watu walipindua bila msaada wa Jeshi.

Mengine nawaachia wenye fani zao.
 
Huyo dogo kaniuliza hata mie swali gumu kabisa ati anauliza hivi ikiwa Mwenyekiti haonekani na wanachama wanamuulizia ni nani anapaswa kutoa majibu ya alipo? sijui hata nimjibuje.
Dah!

Kwaiyo hata makamu mwenyekiti mwenye ofisi kule ubelgiji afahamu alipo CHAIRMAN? Au kazi yake kugombana na hayati?

Hivi katiba ya vyama vya siasa au chama uhusika inasemaje makamu mwenyekiti kuishi ughaibuni?
 
We britanicca , kumbe na wewe uliingia kingi za yule mzushi wa Twita?.
  1. Duniani kote, kiongozi yoyote akiwa mgonjwa ni yeye, familia yake na dakitari tuu. Walinzi ni nje na sio ndani, japo mimi sio mtu wa kule, lakini baada tuu ya kufika mlangoni kwa rais na rais kuingia ndani, walizi watasubiri hapo nje. Dr. Hastings Banda alikuwa daktari bingwa magonjwa ya wanawake alimtibu hadi Malkia, Elizabeth II wa Uingereza, sasa ili kujihakikishia, shetani asije akamtembelea, kabda Dr. Banda hajaachwa pekee na malkia, walikuwa wanamdunga sindano ya nusu kaputi jule 'jamaa' asije akasimama akamnaniliu Malkia. Sasa one day anayemdunga akizidisha kiwango (sijui ni bahati mbaya au makusidi), lakini baada ya kumaliza kumtibu Malkia, kale 'kajamaa' amka... amka na wewe!, ikawa ndio basi tena!. Ndipo wakaamua kumpa zawadi ya urais wa maisha wa Malawi!. Banda hakuzungumza lugha nyingine yoyote zaidi ya Malkia, hakuwa na ndugu yoyote, hakuwahi kuoa, wala hakuwa na mtoto. Hivyo mgonjwa ni dakitari tuu na familia. Ila kwa vile rais ni mtu, at the same time is an institution, serikali pia hujulishwa.

  2. Kwa vile mwenye taarifa ya hali ya mgonjwa ni dakitari, akizidiwa, daktari anaieleza familia na mtu wa serikali, kwa mfumo rasmi wa mawasiliano ya kiraisi serikalini, na VP anajulishwa. Kwa kilichotokea huku kwetu sikijui, ila baada ya yule mzushi wa twita kuzusha, na yule jasusi wa uskochi kupewa taarifa za uhakika kuwa mambo ndio vile, akatoa breaking news kwenye you tube.. PM aliahirisha ziara yake Njombe na rais wa Zanzibar aliahirisha kila kitu. Huku wakati tunasubiria taarifa rasmi, mara tukasikia VP ziarani Tanga!, tukajua ule ni uzushi. Kwenye hotuba, tukapewa salaam. Mara kesho yake jioni ndio tukatangaziwa. Inamaana hali ilibadilika ghafla ndio tukatangaziwa kilicho tokea.

  3. Kwa sisi watu wa nje, kujua hilo ni ngumu, ila usiamini ule uongo wa yule mzushi wa twita, kuwa kuna mtu alipigiwa simu na kupewa maelezo kwa mdomo kupitia simu ya rais. Huo ni uongo. Serikali inafanyakazi kwa maandishi tuu. Mengi yote yanaweza kutolewa maagizo kwa mdomo, ila mambo mawili, 1. Mambo ya fedha. 2. Official order yoyote, hata ya mdomo hufuatiwa na maandishi.

  4. Hakuna kitu kama hicho, huo ni uongo na uzushi tuu. Tena hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang!. Itoshe naomba niishie hapa. Nakutakia Ijumaa Kuu Njema. P
Aliyepewa salamu ya mdomo si Majaliwa jamani?
 
Pasco nae Ni mbabaishaji tu Kama wababishaji wengine.
Anawadharau wa vujishaji wa tweeter anajua source zao?
Mbona na yeye Pasco anakoseaga Sana.
Unajua wale jamaa wa tweeter huwa Mara nyingi wanapatia isipokua mfumo ukiona amepatia Kama Kuna nafasi ya kurekebisha hurekebisha fasta ili kuwaprove wrong watu wale wa tweeter.
Lakini watu hao wa tweeter huwa wanapewa nyeti hizo wazivujishe kwa makusudi au huwa wanapotoshwa kwa makusudi kwa lengo maalum la wavujishaji.

Afya ya Rais Ni suala la taifa hivyo linahusu Usalama wa taifa. hivyo walinzi wa Raisi a ni lazima wawepo karibu na mgonjwa na baadhi ya ndugu wa karibu au mke inategemea.
Daktari peke yake hawezi kuachwa na mgonjwa hata Kama daktari Ni usalama angalau wengine hata wawe nje ya chumba.kwa sababu walinzi pia hawaaminiani yasije yakatokea ya Raulel Kabila.
Kupindua nchi hakuna fomula Bob,inategemea na udhaifu uko wapi.kuna watu walipindua bila msaada wa Jeshi.

Mengine nawaachia wenye fani zao.

Unamchukia mtu Lakini huna points.
 
Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu?

Akauliza maswali magumu kidogo
1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je wanaruhusiwa kuchungulia maendeleo yake?

2. Je, ikitokea Rais amezidiwa na taarifa hawataki Zi leak nani anapaswa kuwanyang'anya walio karibu Simu na kuziweka kapuni wasitoe Taarifa?

3. Je, Hata Kama anaumwa maagizo yanaendelea kutolewa kutumia simu yake,Mfano kuidhinisha Malipo hata kuchukua pesa hazina ya nchi husika? Na nani anashika simu ya Rais anapokuwa amelazwa au anafanyiwa operation?

4. Maswali mengine Sina majibu yake, mfano kauliza swali zito sana eti Mfano ikatokea mtu akataka ajitangazie madaraka wakati rais anaumwa na ikagundulika he Rais akipona anaweza kumfunga, au so Mpaka kufungana bali unamdemote tu?

5. Maswali mengine Bwana mdogo anauliza je Kuna mtu anaweza organize kuchukua nchi bila kuhusisha jeshi?

6. Je jeshi Linaweza Kataa Kumuunga mkono kama kataka kuwatumia kupindua je unakuwa ni uzalendo au Ni Kuona pesa waliyotangaziwa haikidhi matakwa?

TUMJIBU DOGO MI MASWALI YAMENIELEMEA,

BRITANNICA
Haki ya nani nimefarijika/nimecheka kidogo. Hata hivyo yanafikirisha. Subiri majibu
 
We britanicca , kumbe na wewe uliingia kingi za yule mzushi wa Twita?.
  1. Duniani kote, kiongozi yoyote akiwa mgonjwa ni yeye, familia yake na dakitari tuu. Walinzi ni nje na sio ndani, japo mimi sio mtu wa kule, lakini baada tuu ya kufika mlangoni kwa rais na rais kuingia ndani, walizi watasubiri hapo nje. Dr. Hastings Banda alikuwa daktari bingwa magonjwa ya wanawake alimtibu hadi Malkia, Elizabeth II wa Uingereza, sasa ili kujihakikishia, shetani asije akamtembelea, kabda Dr. Banda hajaachwa pekee na malkia, walikuwa wanamdunga sindano ya nusu kaputi jule 'jamaa' asije akasimama akamnaniliu Malkia. Sasa one day anayemdunga akizidisha kiwango (sijui ni bahati mbaya au makusidi), lakini baada ya kumaliza kumtibu Malkia, kale 'kajamaa' amka... amka na wewe!, ikawa ndio basi tena!. Ndipo wakaamua kumpa zawadi ya urais wa maisha wa Malawi!. Banda hakuzungumza lugha nyingine yoyote zaidi ya Malkia, hakuwa na ndugu yoyote, hakuwahi kuoa, wala hakuwa na mtoto. Hivyo mgonjwa ni dakitari tuu na familia. Ila kwa vile rais ni mtu, at the same time is an institution, serikali pia hujulishwa.

  2. Kwa vile mwenye taarifa ya hali ya mgonjwa ni dakitari, akizidiwa, daktari anaieleza familia na mtu wa serikali, kwa mfumo rasmi wa mawasiliano ya kiraisi serikalini, na VP anajulishwa. Kwa kilichotokea huku kwetu sikijui, ila baada ya yule mzushi wa twita kuzusha, na yule jasusi wa uskochi kupewa taarifa za uhakika kuwa mambo ndio vile, akatoa breaking news kwenye you tube.. PM aliahirisha ziara yake Njombe na rais wa Zanzibar aliahirisha kila kitu. Huku wakati tunasubiria taarifa rasmi, mara tukasikia VP ziarani Tanga!, tukajua ule ni uzushi. Kwenye hotuba, tukapewa salaam. Mara kesho yake jioni ndio tukatangaziwa. Inamaana hali ilibadilika ghafla ndio tukatangaziwa kilicho tokea.

  3. Kwa sisi watu wa nje, kujua hilo ni ngumu, ila usiamini ule uongo wa yule mzushi wa twita, kuwa kuna mtu alipigiwa simu na kupewa maelezo kwa mdomo kupitia simu ya rais. Huo ni uongo. Serikali inafanyakazi kwa maandishi tuu. Mengi yote yanaweza kutolewa maagizo kwa mdomo, ila mambo mawili, 1. Mambo ya fedha. 2. Official order yoyote, hata ya mdomo hufuatiwa na maandishi.

  4. Hakuna kitu kama hicho, huo ni uongo na uzushi tuu. Tena hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang!. Itoshe naomba niishie hapa. Nakutakia Ijumaa Kuu Njema. P
Unamaana yule aliyemzushia kifo kumbe yuko ofisini anachapakazi!
 
Back
Top Bottom