Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,945
Pascal Mayala wa enzi ya Kiti moto ulinikosha sana enzi zile maswali magumu yenye lojiki.Sii kweli, mimi ni mimi na Mkuu britanicca ni britanicca, ni watu wawili tofauti ila tunashabihiana sana.
P
- Wate tunatoka Kanda moja mimi ni chapa ng'ombe mwenzangu ni nshomile.
- Tutakuwa age mates, mimi nilisoma Bongo mwenzangu akasoma Urusi na 'kitu' changu flani
- wote tuko security conscious, highly intelligent with lots of intel, watu wakidhani sisi ni wale 'jamaa', kumbe mwenzangu ndio wale, mimi ni guess work!.
- wote ni wazalendo wa kweli wa taifa hili, mwenzangu alikuwa na data za jamaa mmoja anaitwa Katto, hakuzitoa, na aliponimegea mimi pia nikazihifadhi, ila ndio nikajua kumbe wale 'jamaa zetu', ni hakuna kabisa kitu pale, ni madafu tuu na kama ni nazi ni koroma.
- wote we are well connected ila hatutumii connections to our advantage, tumetanguliza mbele maslahi ya taifa.
- wote we are very social, tuna jokes sana, na tunauwezo mkubwa wa kuandika kwa tafsida.
Hebu TAFAKARI urudi enzi zako tuanzishe kitu moto.
Uungane na chief Odemba na yule
Kijana mwingine nimemsahau jina.