Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na
Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu?
Akauliza maswali magumu kidogo
1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je wanaruhusiwa kuchungulia maendeleo yake?
2. Je, ikitokea Rais amezidiwa na taarifa hawataki Zi leak nani anapaswa kuwanyang'anya walio karibu Simu na kuziweka kapuni wasitoe Taarifa?
3. Je, Hata Kama anaumwa maagizo yanaendelea kutolewa kutumia simu yake,Mfano kuidhinisha Malipo hata kuchukua pesa hazina ya nchi husika? Na nani anashika simu ya Rais anapokuwa amelazwa au anafanyiwa operation?
4. Maswali mengine Sina majibu yake, mfano kauliza swali zito sana eti Mfano ikatokea mtu akataka ajitangazie madaraka wakati rais anaumwa na ikagundulika he Rais akipona anaweza kumfunga, au so Mpaka kufungana bali unamdemote tu?
5. Maswali mengine Bwana mdogo anauliza je Kuna mtu anaweza organize kuchukua nchi bila kuhusisha jeshi?
6. Je jeshi Linaweza Kataa Kumuunga mkono kama kataka kuwatumia kupindua je unakuwa ni uzalendo au Ni Kuona pesa waliyotangaziwa haikidhi matakwa?
TUMJIBU DOGO MI MASWALI YAMENIELEMEA,
BRITANNICA