Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza swali 'Hivi Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu ya hili'?

Unamchukia mtu Lakini huna points.
Kusema Pasco Ni mbabaishaji ndio kumchukua,hayo maswali aliyoulizwa Kila mtu anaweza kujibu kwa fikra zake.Mfano swali la kupindua nchi.
Kuna watu walishapindua nchi bila kuungwa mkono na Jeshi na bila kunwaga damu.kumkosoa Pasco sio kumchukua,Kuna sehemu kadha katika michango yake anakoseaga Kama wanavyokosea watu wa tweeter.
Hata hivyo na wewe naomba ujue kuwa mtoa mada ameleta mada ijadiiwe mijadala ndio njia za kujifunza na Kila mtu Ana maoni yake.
 
Nani
 
majibu safi
 
Kabisa
 
Uchochezi!!
 
Nilichojifunza kwenye huu Uzi, Pasco na Britanica ni mtu mmoja.
Sii kweli, mimi ni mimi na Mkuu britanicca ni britanicca, ni watu wawili tofauti ila tunashabihiana sana.
  • Wate tunatoka Kanda moja mimi ni chapa ng'ombe mwenzangu ni nshomile.
  • Tutakuwa age mates, mimi nilisoma Bongo mwenzangu akasoma Urusi na 'kitu' changu flani
  • wote tuko security conscious, highly intelligent with lots of intel, watu wakidhani sisi ni wale 'jamaa', kumbe mwenzangu ndio wale, mimi ni guess work!.
  • wote ni wazalendo wa kweli wa taifa hili, mwenzangu alikuwa na data za jamaa mmoja anaitwa Katto, hakuzitoa, na aliponimegea mimi pia nikazihifadhi, ila ndio nikajua kumbe wale 'jamaa zetu', ni hakuna kabisa kitu pale, ni madafu tuu na kama ni nazi ni koroma.
  • wote we are well connected ila hatutumii connections to our advantage, tumetanguliza mbele maslahi ya taifa.
  • wote we are very social, tuna jokes sana, na tunauwezo mkubwa wa kuandika kwa tafsida.
P
 
Dah you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…