Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza swali 'Hivi Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu ya hili'?

Pascal Mayala wa enzi ya Kiti moto ulinikosha sana enzi zile maswali magumu yenye lojiki.

Hebu TAFAKARI urudi enzi zako tuanzishe kitu moto.

Uungane na chief Odemba na yule
Kijana mwingine nimemsahau jina.
 
Mambo ya serikali ni ya "sirikali" hizi mada za 2021 kurudishiwa uhai 2025 maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…