Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?
Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero.
Wananchi wa Tanzania wanabaki maskini. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu. Nyerere alikuwa ni the best president mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo.far more alikuwa very inteligent.
Kuja kumpata Rais aina yake tena Tanzania labda ni baada ya miaka 100.
Picha chini Mama Maria Nyerere akiongoza wanajeshi wengine. Hii ilikuwa mwaka 1979 katika ile Vita ha kumng'oa Nduli Idd Amin Dada wa Uganda Dikteta maarufu wa Afrika Mashariki.

TUMPE MUDA.