LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
Mkuu! Julius aliipenda kwa dhati kabisa Tanzania licha ya mapungufu yake ya kibinadamu haiwezi kuondoa ukweli kwamba Julius Kambarage alikuwa mzalendo namba moja.Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?
Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero.
Wananchi wa Tanzania wanabaki maskini. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu. Nyerere alikuwa ni the best president mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo.far more alikuwa very inteligent.
Kuja kumpata Rais aina yake tena Tanzania labda ni baada ya miaka 100.
Picha chini Mama Maria Nyerere akiongoza wanajeshi wengine. Hii ilikuwa mwaka 1979 katika ile Vita ha kumng'oa Nduli Idd Amin Dada wa Uganda Dikteta maarufu wa Afrika Mashariki.
TUMPE MUDA.
View attachment 1842324
Mtoto wake alifia vitani akiihami na kuipigania hii nchi tuliyo nayo leo.
Hakuanikiwa kutengeneza uchumi imara ila alifanikiwa kutengeneza social harmony ya Hali ya juu, Watanzania hatuna ubaguzi kwa sababu Nyerere alitufanya tujione wamoja na ndugu. Kenya hili jinamizi linawatesa kwa miaka nenda rudi.
Sababu Mwasisi wa taifa lao hakufanya kazi nzuri kwenye social harmony.
Yako mengi naishia hapa Niko busy