Wakati Nyerere na Familia yake (Mke na Watoto wakishiriki vita ya Kagera miaka hiyo) Marais waliofuata wanashirikiana na familia zao kutufisadi

Mkuu! Julius aliipenda kwa dhati kabisa Tanzania licha ya mapungufu yake ya kibinadamu haiwezi kuondoa ukweli kwamba Julius Kambarage alikuwa mzalendo namba moja.

Mtoto wake alifia vitani akiihami na kuipigania hii nchi tuliyo nayo leo.

Hakuanikiwa kutengeneza uchumi imara ila alifanikiwa kutengeneza social harmony ya Hali ya juu, Watanzania hatuna ubaguzi kwa sababu Nyerere alitufanya tujione wamoja na ndugu. Kenya hili jinamizi linawatesa kwa miaka nenda rudi.

Sababu Mwasisi wa taifa lao hakufanya kazi nzuri kwenye social harmony.

Yako mengi naishia hapa Niko busy
 
Nimevutiwa na hii sehemu

"Sasa, kwa hii style mpya wanayotaka kuja nayo, heri utukanwe ukiwa ndani ya V8 kuliko mtu mzima unakaa kubishana na form six au undergraduates ambao wana hasira zilizoyengenezwa na CHADEMA na hawawezi kukaa kupokea ushauri nini kifanyike".
 
Vipi mkuu 😃
 
Hiyo picha haiimanishi Mama Maria Nyerere alishiriki vita vya Kagera hiyo picha ni kwamba mama muda mchache baada ya kuanzishwa jeshi la mgambo nayeye alipitia mafunzo ya mgambo watoto wa Nyerere walioshiriki vita vya Kagera walishiriki kwa kuwa kipindi hicho walikuwa jeshi ni namfahamu Charles Makongoro alikuwa JKT kwa mujibu wa sheria
 
Wewe mporipori ungejuaje mbinu chafu aliyocheza tuluza makalio endele kupombeka na lubisi huko
Mbona kama umepanic sheikh? Mnazi umeshajaa kichwani? Ndo unatuliza hayo makitu? Usipanic sheikh haya mambo si kama kusubiria ubwabwa na ndizi mfukoni. Elimu inahusika.
 
Halaf Kuna mibata aina ya mataga inataka kumlinganisha mwl. na vitu vya kijinga.
 

Acha uongo, mama Maria hakwenda kupigana vita na wala hakukuwa na Askari mwanamke aliyekwenda mstari wa mbele vitani, isitoshe zama za maraisi wengine hakukuwa na vita sasa unawezaje kuwalinganisha katika hali hiyo??!!.
 
Naomba kukubaliana na wewe %100
 
Mzee mzima unakuwa na pumba kiasi hiki. CCM bwana.
 
katiba mpya ndo habari ya mjini.
 
Kwanza uliza hiyo vita ya ya kagera ilikuwa na umuhimu wowote kwa maslahi ya taifa letu au ilikuwa ni maslahi binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…