Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #41
Kwanza uliza hiyo vita ya ya kagera ilikuwa na umuhimu wowote kwa maslahi ya taifa letu au ilikuwa ni maslahi binafsi?
Watanzania wa namna hiyo tupo wengi tuu kati ya milioni 60,tatizo hatupewi nafasi.viongozi wa aina hiyo hawapo tena duniani
Wote hao waliopita walikuwa na maneno matamu sana lakini cha moto tumekionaWatanzania wa namna hiyo tupo wengi tuu kati ya milioni 60,tatizo hatupewi nafasi.
Mtu anaitwa "first lady mstaafu" halafu eti anaenda tena kugombania ubunge!!
Watoto wa waliokuwa viongozi ndio nao wanaopewa uongozi as if uongozi unarithika.
Tanzania ya leo bila ya kuwa na nasaba na kiongozi,bila ya kujikomba kwa viongozi,bila ya kuwa msukule wa viongozi,ni ngumu sana kwa Mtanzania makini kuwa kiongozi.
Uzee unaonipa kwani nimemla mamako? Haya kamlete nimpasue, mbali weweMzee mzima unakuwa na pumba kiasi hiki. CCM bwana.
Nyie ndo damu ya walee babu waliokimbiaga vita ya kukomboa watumwa!! tena walishirikiana na mzungu kuuza ndugu zao!!! Ok sasa akili yako hiyo ya naniliu ........sorry nilitaka kusema madrasa...... lkn natengua kauli.....vita inaanzishwaga na nani?? na wapita njia auIle vita alianzisha mwenyewe
Fuatilia kwa undani hapakuwa na haja
Tulijilazimisha tu kuingia vita ya Kagera wala ilikuwa haituhusu ni kiherehere hetu tu katika kumsaidia Dr. Milton Obote.Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?
Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero.
Wananchi wa Tanzania wanabaki maskini. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu. Nyerere alikuwa ni the best president mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo.far more alikuwa very inteligent.
Kuja kumpata Rais aina yake tena Tanzania labda ni baada ya miaka 100.
Picha chini Mama Maria Nyerere akiongoza wanajeshi wengine. Hii ilikuwa mwaka 1979 katika ile Vita ha kumng'oa Nduli Idd Amin Dada wa Uganda Dikteta maarufu wa Afrika Mashariki.
TUMPE MUDA.
View attachment 1842324
Tuliamaini na bado tunaamini Africa ni moja! ivo tulikuwa tunatimiza ahadi yetu!! ..... sababu ndg yetu alifanya kitendo cha uadui! ikatubidi tumuonyeshe jinsi ya kumfunga kamba ili atulie tule! tulikuwa hatuna jinsi!!T
Tulijilazimisha tu kuingia vita ya Kagera wala ilikuwa haituhusu ni kiherehere hetu tu katika kumsaidia Dr. Milton Obote.
Halafu hamfikii hata maguWewe mporipori ungejuaje mbinu chafu aliyocheza tuluza makalio endele kupombeka na lubisi huko
Wapo sema hawajapata nafasi ila ipo siku ya Mungu ni mengiviongozi wa aina hiyo hawapo tena duniani