Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Mpira wanaouche Yanga unatisha
Kusoma St. Augustino ,ni swala dogo sana , vipi sie tuliokua karibu pata upadirisho na tukaacha , sababu tu , kwa kiangalia familia zetu maskini, maana ukishakua mtawa umejikabidhi kwa Mungu, na hupo chini ya mamlaka nyingine za kimungu kuliko ya Dunia ,tusemeje?
Alienda kumbagaza Papa?😀😀😀Kusoma St. Augustino ,ni swala dogo sana , vipi sie tuliokua karibu pata upadirisho na tukaacha , sababu tu , kwa kiangalia familia zetu maskini, maana ukishakua mtawa umejikabidhi kwa Mungu, na hupo chini ya mamlaka nyingine za kimungu kuliko ya Dunia ,tusemeje?
Kabudi ni tapeli na macho yake makubwa yanaonesha hili, yani hata haibu hana , watanzania wamekufa kwa maelfu then ,unaenda mbele ya Papa kumbagaza , hope siku moja nitakutana naye kama sio mbinguni , atakula vibao sana
Ndio ,alienda mbagaza Papa, hapa lawama nawapa ,jumuia ya Maskofu tz why hawakutoa alert , kwamba awajao kwako wananuka mikono ya Damu, Papa anatakiwa jitakasa kwa toba ,kwa kutoa mkono wake kwa hawa watu Inambidi afunge kwa siku 14 ,kutakasa mikonono yake , haikua sahii kutoaa mkono wake kwa hawa watuAlienda kumbagaza Papa?😀😀😀
Wakati wanaongea na Papa alikuwa tayari ana taarifa zote, Vatcan wana ubalozi wao Tanzania, Vatcan wana taarifa na mawasiliano ya karibu na baraza la maaskofu kwa kifupi alikuwa anawachora Papa asingekuwa kiongozi wa dini sidhani kama angewaruhusu kuonana naye hasa matendo yao ya kutengeneza wakatoliki fekiNdio ,alienda mbagaza Papa, hapa lawama nawapa ,jumuia ya Maskofu tz why hawakutoa alert , kwamba awajao kwako wananuka mikono ya Damu, Papa anatakiwa jitakasa kwa toba ,kwa kutoa mkono wake kwa hawa watu Inambidi afunge kwa siku 14 ,kutakasa mikonono yake , haikua sahii kutoaa mkono wake kwa hawa watu