GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko.
Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya vyema katika kila Nyanja na Tanzania inepiga hatua Kubwa ya Kimaendeleo hasa Kiuchumi kiasi kwamba kuanzia mwakani nchi za Marekani, Uingereza na China zitakuja Kutukopa Fedha.
Kwani tutakuwa tumeshakuwa Tajiri kuwazidi na Kutokuwa na Wazee wa kuanzia miaka 60 Serikakini kama ambao wako wengi Serikakini nchini Kenya na ambao Rais Ruto kawachoka kwani wanasababisha tatizo la Ajira kuzidi kuwa Kubwa nchini Kenya.
Kwa wale Matomaso ( Wasioamini ) hii Taarifa ya haya Maamuzi ya Rais Ruto wa Kenya watembelee Ukurasa wa KTN News.
Imeisha hiyo.......!!