Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya uwezeshwaji wa matumizi sahihi ya tehama, serikali iwekeze ngazi ya msingi kukuza uelewa wa Kizazi kwa kizazi kwa kufanya hivi matokeo yake yatakuwa yenye tija kwq kizazi cha sasa na kijacho.
Upvote
3