Wakati Serikali inaendelea kununua ndege kwa taslimu tena ndani ya muda mfupi,hali halisi ya wananchi wako ndio hii huko vijijini

Wakati Serikali inaendelea kununua ndege kwa taslimu tena ndani ya muda mfupi,hali halisi ya wananchi wako ndio hii huko vijijini

Chadema na nyinyi zile bilioni tatu za ruzuku mnazopata kila mwaka kwa nini msiwapelekee wananchi wa hali ya chini vijijini badala yake mnanunulia magari na kujilipa posho kila mnapokaa kwenye vikao vyenu.
Hii haijibu hoja ya mtoa mada muda mwingine tuwe na ubinadamu na utaifa kwanza
 

Bajeti ya maji ni tirioni moja kwa mwaka huu t. Kwakuwa Ujenzi wa hiyo miundombinu si kama kuandaa kikombe cha kahawa mezani, halihiyo mtaendelea kuiona mpaka pale miundombinu ya maji itakapokuwa tayari.
Tatizo lenu mnazo siasa za chuki ndio maana mnakosa hoja na kuja na vihoja
 
Hopeless! Kama hujui maswala ya uchumi funga domo lako! Hujui hata vichochea maendeleo ya nchi.
pumbavu kabisa we livuvuzera,ni wap mandege mabovu yametajwa kuwa ni indicator of economic development ?
 
Galatians 6:7 - Be not deceived; God is not mocked: for whatsoever a man soweth, that shall he also reap.

So don't lament you are reaping what you sowed.
 
Ukweli umewaumbua na unawaumiza hawa wazalendo feki”makenge ya kijani” yashasahau kuwa hii ni serikali ya wanyonge. Yanabwaka midogo wazi humu na kutoa harufu chafu ya vinywa vyao. Lumumba kweli mnaishi kwa UKAHABA. PUMBAVU!
 
Chadema na nyinyi zile bilioni tatu za ruzuku mnazopata kila mwaka kwa nini msiwapelekee wananchi wa hali ya chini vijijini badala yake mnanunulia magari na kujilipa posho kila mnapokaa kwenye vikao vyenu.

Wewe umeamua kwa makusudi kabisa au kwa bahati mbaya kuhamisha magoli!
 
Hivi kwa miaka 10 baba wa Fatma alifanya nini japo kwenye miradi ya kijamii ikiwamo maji?

Then mzee Karume babu wa Fatma nae alifanya nini ili kutokea hapo Fatma awe na moral authority kumlaumu JPM kama ndiyo lengo lake.

Hata mimi sifurahishwi na sidhani hata JPM anafurahishwa na maswahibu wanayopitia wapiga kura wake.

La mwisho. Wizara ya maji ina mipango gani ya kibiashara ili miradi ya maji ikifika kijijini au kwenye kata; uwekezaji huo uwe na mguso wa kilimo-biashara kwa ajili ya say Intensive irrigation farming/animal fattenig with slaughter house and packaging house.

Then kwa kuvutia miradi ya kilimo-biashara eventually wanajamii nao wanafaidika.

Itavutia financiers kuweka hela kwenye miradi kama hiyo maana payback yake ni ya muda mfupi ukilinganisha na miradi ya maji ambayo ni ya kijamii na payback yake haiko certain ukipima vs muda.

Vyovyote vile, hili nalo litafanyiwa kazi
 
Chadema na nyinyi zile bilioni tatu za ruzuku mnazopata kila mwaka kwa nini msiwapelekee wananchi wa hali ya chini vijijini badala yake mnanunulia magari na kujilipa posho kila mnapokaa kwenye vikao vyenu.
Utetezi wa kitoto huu kuwaandama chadema. Ukweli ni kwamba kila wakati vijiji vipya vinazaliwa sababu ya ongezeko la watu, hivyo kila wakati kuna sehemu mpya inayohitaji maji, umeme n.k achilia mbali maeneo ya zamani ambayo bado hayajafikiwa. Kuongoza nchi kubwa kama hii si jambo jepesi.
 
Hopeless! Hivi pesa waliyopewa chadema na mzee Sabodo yakuchimba visima kila Jimbo waliloshinda iliyeyukia wapi? Kuna Jimbo Hata moja lililoambulia Hata kisima Cha milion moja?

Na wewe umehamisha magoli! Jitahidi ujikite kwenye mada iliyoko mezani. Hayo mambo ya Sabodo na Chadema, unaweza ukayaleta humu kupitia uzi wako.
 
Na wewe umehamisha magoli! Jitahidi ujikite kwenye mada iliyoko mezani. Hayo mambo ya Sabodo na Chadema, unaweza ukayaleta humu kupitia uzi wako.
Nimeuliza pesa zikipoenda kwani visima hatujaviona. Km walibadili matumizi wakanunua baiskeli kila Jimbo pia watuambie. Km ilivyo kwa Magufuli badala ya maji kanunua ndege.😁😁
 
A
Na wewe umehamisha magoli! Jitahidi ujikite kwenye mada iliyoko mezani. Hayo mambo ya Sabodo na Chadema, unaweza ukayaleta humu kupitia uzi wako.
Acha kujisahaulisha mkuu. Hoja hapa Ni shida ya maji. Na Mimi nimeongelea maji!
 
Mleta maada una lrngo zuri. Kwamba kuwe na balance. Umerejea manunuzi ya ndege. Ni kwa nini hujarejea pia srrikali inatumia kiasi gani kwenye miradi mikubwa ya maji? Ni kwamba hufahamu au ndiyo ile kutaka kuona/kusikia yale tu mnayoyapenda?

Kununua ndege kwa mkopo kunafanya delivery ije wakati ambapo hakuna tena tija ya ununuzi husika. Zinahitajika sasa zije sasa. Everything must go. Huwezi acha kununua ndege eti mpaka pale kila mwananchi atakapokuwa na maji.
 
Back
Top Bottom