Wakati Serikali inaendelea kununua ndege kwa taslimu tena ndani ya muda mfupi,hali halisi ya wananchi wako ndio hii huko vijijini

Wakati Serikali inaendelea kununua ndege kwa taslimu tena ndani ya muda mfupi,hali halisi ya wananchi wako ndio hii huko vijijini

Achaneni na mambo madogo madogo ya watu kunywa maji ya matope visimani, kunyweni bia na kushangilia ndege.
Alisikika mlevi mmoja waziri wa JMT.
 
Wote tukiwa washangiliaji na wapiga makofi,Bwana mkubwa utakosa watu wa kukumbusha mambo kama haya, na wewe kama binadamu,unaweza ukajisahau.

Wananchi hao wamefikia hatu hata ya kukosa maji ya kuoshea maiti kama wenyewe wanavyoongea katika hii clip.

Ndege tununue na mambo mengine tufanye,lakini tujaribu ku-balance ili na huduma za kijamii kama hizi ziweza kushughulikiwa.

Ununuzi huu wa ndege hizi nyingi tena kwa cash, unafaidisha zaidi mnaowaita mabeberu kuliko wananchi wanaokabaliwa na matatizo mengi yakiwemo ukosefu wa huduma za kijamii, hivyo tujitahidi kuwaangalia sambamba na kununua hizo ndege na kufanya mambo mengine yanayotumia fedha nyingi lakini iwakati huo huo na wananchi wasikose huduma za msingi za kijamii kama maj,afya,n.k...
Very good comment wajaribu kubalance kote kote. Hii nimeipenda kuliko kuponda kabisa ndege . Hizi ndege miaka ijayo waTZ watafaidi sana kutokana na tourism business.
 
Watanzania walioko huko vijijini wanatabu sana na serikali yao wala haijui na haitaki kujua.
Kinachotakiwa serikali ianzishe kampeni ya viongozi kuzunguka sehemu zote za vijijini na mijini nchini, kuwaambia wananchi kwamba TANZANIA NI TAJIRI. Watu wakujua hilo, hawatalalamika.
 
Back
Top Bottom