Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
WALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDAWabarikiwe wazungu
Mnafki tu huyo na maushungi yake!Huyu mama amechanganyikiwa,mauaji yanayoendelea,yeye ndo mhusika mkuu
Hawezi kukwepa tuhuma za Makosa ya Kimataifa ya Kijinai ya Enforced Disappearance na Murder yeye na watu wake wa karibuHuyu mama amechanganyikiwa,mauaji yanayoendelea,yeye ndo mhusika mkuu
Lazimisheni tu kufanya uchaguzi wenu dhalimu muone mnavyoshindwa kulipa mishahara ya Wanajeshi na Watumishi ws Umma baada ya vibano kuwa heavy.WALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDA
Hao machawa wasio na akili hawawezi haya maji marefu.Mwijaku wa jF Lukas njo umtetee mama mabeberu yanamsema
Idd Amin Mama.Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Kama kuna namna ya kuuchukua waubebe tu maana hatuthamini haki za raia wetu na huo mhimili unajifanya kipofu kupitia boss wakeNimeota kuwa hata ule u rais wa bunge la dunia uko matatani kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini.
Yaani serikali inatesa watu wake kisa watu hao wanasema ukweli bila unafiki Alafu inaenda kujitetea Geveva hv hz ni Akili TIMAMU au ndio upoyoyo na ninajua lazima wamemtuma (kumswich) mjinga mmoja aende kupeleka ugolo wao Geneva.Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Kweli kabisaIdd Amin Mama.
Raisi wa hovyo kuwahi kutokea kwa hii nchi.
NO REFORMS NO ELECTION