Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
JPM alikuwa mwizi pia, hakuna rais asiyeiba na hatakuja kuwepo.Samiah ni mwizi na fisadi.
JPM alikuwa mwizi pia, hakuna rais asiyeiba na hatakuja kuwepo.Samiah ni mwizi na fisadi.
Na Mimi pia anibarikiKama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Unamjua anaeyapeleka hayo mambo yenu?WALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDA
Mzungu gani anakutetea wewe ?Kama wanatutetea tusitekwe na kuuliwa na viongozi tuliowapa madaraka wenyewe hao ndiyo marafiki wa kweli, adui mkubwa wa watanzania kwa sasa ni serikali yao wenyewe.
Samiah ni mwizi kuliko marais wa kiume.JPM alikuwa mwizi pia, hakuna rais asiyeiba na hatakuja kuwepo.
Ushahidi huna zaidi ya kuendekeza chuki na ubaguzi.Samiah ni mwizi kuliko marais wa kiume.
DP World ni ya nani??Ushahidi huna zaidi ya kuendekeza chuki na ubaguzi.
Nilikuwa nagombana sana na Sukuma gang kipindi kile wanampa makavu Mzee wa Msoga. Ila saivi nawaelewa sana Suguma Gang. Yule mzee wa Msoga do chanzo cha mkwamo wa hili Taifa kutokana na kuendekeza kwake maslahi binafsi.
Waarabu, kuna mwekezaji mwingine anasubiriwa hapo Bagamoyo awekeze kwenye bandari.DP World ni ya nani??