WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Au labda ni wewe uliyewapotezahivi hao unaowataja wamepotezwa na samia? hebu tuache uongo usiokuwa na maana yoyote
Au labda ni wewe uliyewapotezahivi hao unaowataja wamepotezwa na samia? hebu tuache uongo usiokuwa na maana yoyote
Uko sahihiMjue tunaweza mlaumu yeye sana kumbe haya anaelekezwa na msoga. Halafu msoga anajifanya nayeye ni muangaliaji kama sisi, duniani mtu mnafiki, anakuuwa huku anakuchekea...✍️
Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Hapana. The buck stops with her. Yeye hana akili mpaka aelekezwe na Msoga? Historia na Legacy itakuwa ni yake na haitakuwa ya Msoga maana Msoga yeye alishapoteza nafasi nzuri sana ya kujijengea legacy iliyotukuka baada ya kushindwa kupitisha ile katiba ya Warioba. Viongozi wa Afrika huwa hawajali mambo ya legacy wala nini isipokuwa tu kujitajirisha wao, familia zao na marafiki/machawa.Mjue tunaweza mlaumu yeye sana kumbe haya anaelekezwa na msoga. Halafu msoga anajifanya nayeye ni muangaliaji kama sisi, duniani mtu mnafiki, anakuuwa huku anakuchekea...✍️
Nilikuwa nagombana sana na Sukuma gang kipindi kile wanampa makavu Mzee wa Msoga. Ila saivi nawaelewa sana Suguma Gang. Yule mzee wa Msoga do chanzo cha mkwamo wa hili Taifa kutokana na kuendekeza kwake maslahi binafsi.
Huyu mtu tuombe Mungu afanye vinginevyo, utaona mabadiliko makubwa sana. Ila akiwa bado yupo mambo yatakuwa hayahaya. Watu wanasahau utekaji ulianzia kwake, haya ni muendelezo tu. Mtu mzima unasimama na kuuliza eti hivi tuna sheria mbaya kiasi kwamba watu wanakataa kushiriki uchaguzi? Ni matusi makubwa sana kwa Watanzania.Hapana. The buck stops with her. Yeye hana akili mpaka aelekezwe na Msoga? Historia na Legacy itakuwa ni yake na haitakuwa ya Msoga maana Msoga yeye alishapoteza nafasi nzuri sana ya kujijengea legacy iliyotukuka baada ya kushindwa kupitisha ile katiba ya Warioba. Viongozi wa Afrika huwa hawajali mambo ya legacy wala nini isipokuwa tu kujitajirisha wao, familia zao na marafiki/machawa.
Msoga anaweza kuwa anamharibia makusudi lakini when everything is said and done, maovu yote na mazuri yote atabebeshwa yeye na siyo Msoga...
Japo mwenzake alisema kuwa wazuri hawafi...labda ipo siku nao watakufa maana you never know!😡Huyu mtu tuombe Mungu afanye vinginevyo, utaona mabadiliko makubwa sana. Ila akiwa bado yupo mambo yatakuwa hayahaya. Watu wanasahau utekaji ulianzia kwake, haya ni muendelezo tu. Mtu mzima unasimama na kuuliza eti hivi tuna sheria mbaya kiasi kwamba watu wanakataa kushiriki uchaguzi? Ni matusi makubwa sana kwa Watanzania.
Hajali hana uchungu na Watanzania. Yeye kama mstaafu pekee aliyebaki kwa hapa, ndiye angekuwa msuluhishi mzuri na kusaidia kufanya reforms. Kwa makusudi kabisa anajua kufanya reforms zozote mali zake ziko matatani. Kila leo anaongeza umiliki wa vitu, inaweza fika nusu ya nchi vitu ni vyake juzi kuna kampuni ya simu yumo, mimi huyo mtu alishanitoka kabisa.
Nakubaliana na wewe. Huyu mzee na ubinafsi wake na tamaa zake za kutaka kuneemeka yeye na kizazi chake tu ndo wanasababisha mkwamo mkubwa sana kwa hili Taifa.Kuna mahali nilikuta wanasema kwamba nchi hii haitakaa ipumue mpaka huyo jamaa atakapoondoka hapa duniani maana inasemekana karibia kila kinachotokea - yakiwemo yale matukio ya wenzake - ni yeye. Na sasa hata kujificha naona amechoka. Yuko so active utafikiri ni waziri au mwajiriwa fulani wa serikali.
Japo mwenzake alisema kuwa wazuri hawafi...labda ipo siku nao watakufa maana you never know!
Kama wanatutetea tusitekwe na kuuliwa na viongozi tuliowapa madaraka wenyewe hao ndiyo marafiki wa kweli, adui mkubwa wa watanzania kwa sasa ni serikali yao wenyewe.Hivi wazee wenu walipigania Uhuru wa Tanganyika ili iwaje ?
Leo unasimama kwa ujasiri kutaka mataifa mengine yaingilie uhuru wenu wa kufanya mambo yenu na mtu anaona ni jambo la kuwa proud of, nyie madogo sijui mkoje. Mnatakiwa kuelewa kuwa mabadiliko ya kweli kamwe hayawezi kuletwa na nchi za mabeberu kama wananchi mnaendekeza ushilawadu. Over.
Ila Bagonza.Kuna jitu litakufa vibaya mwaka huu .
Maza si anafata ushauli machawa? Atavuna alichopandaHao machawa wasio na akili hawawezi haya maji marefu.
Na safari hii atavuna kweli.Maza si anafata ushauli machawa? Atavuna alichopanda
Ukicheka na nyani utavuna mabua.Na safari hii atavuna kweli.
Mungu hachelewi kuonya penye hata dalili ya uovu na huangamiza uovu unapozidi.Ifike mahali uchawa na chawa waharamishwe kwenye taifa letu.Tena kibidi kwa mswaada wa hati ya dharura.Binafsi nawabebesha hili zigo.Nimeota kuwa hata ule u rais wa bunge la dunia uko matatani kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini.
.Hawezi kukwepa tuhuma za Makosa ya Kimataifa ya Kijinai ya Enforced Disappearance na Murder yeye na watu wake wa karibu
AiseeKama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️