Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.

Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.

View attachment 3379700

Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
At the same time East Africa Law Society(EALC) walikua na mkutano mkubwa ulokua umepangwa kufanyikia Zanzibar, ila wamebadilisha venu na kuupelekea Addis Ababa kwa kuhofia usalama wa wanasheria wao. What kind of a Country is this?
 
Attachments

  • Screenshot_20250623_120459_Instagram.jpg
    Screenshot_20250623_120459_Instagram.jpg
    330.5 KB · Views: 28
At the same time East Africa Law Society(EALC) walikua na mkutano mkubwa ulokua umepangwa kufanyikia Zanzibar, ila wamebadilisha venu na kuupelekea Addis Ababa kwa kuhofia usalama wa wanasheria wao. What kind of a Country is this?
Duh hatari sana image inazidi kuchafuka
Nchi ambayo hata wanasheria wa Kanda hawaheshumiki, kutoka kudharau utawala wa Sheria ndani ya nchi mpaka kikanda. Deportation and abduction bila significant reasons! Tanzania ya Samia ni ya hovyo sana
 
Hili ndo gazeti na TV mbaya sana kuliko CNN. Hawa wanashughulika na Business Reports zaidi, wanasababisha watu wanaopenda demokrasia wakatae kuja kuwekeza. Mambo kama haya yanasababisha uwekezaji kuwa chini sana. Kwa upande mwingine turekebishe haya mambo, tuko na sababu zote wawekezaji kuja. Reforms(kisheria na jinsi viongozi wanavyoendesha nchi) zinatakiwa. Tumekosa wawekezaji wengi sana kwa sababu siasa zetu haziaminiki. Mfano muwekezaji anayependa demokrasia na anayetoka nchi ambayo ni ya kidemokrasia hawezi wekeza kwa kujiamini na akalipa kodi kwenye nchi ambayo itatumia kodi hizo kunyanyasa raia. Tuna nchi nzuri sana. Tusiilinde kwa uchoyo/ubinafsi wa kuteka wengine hili tubaki madarakani. Kwa mfano wengine hatuko kwenye siasa, tunachotaka kuwe na utulivu wa hiari si wa kulazimishwa na polisi. Utulivu wa hiari ndo uzalendo wenyewe. Utulivu na amani ya hiari unafanya kila mtu aipende nchi. Utulivu wa kulazimishwa unasababisha watu kuchukia viongozi na nchi
Walianza Wall Street Journal saivi wamekuja Bloomberg. Wanagonga nyundo za utosini tu.
 
Madaraka ni matamu sana usipime huyu mama amebadilika na kuwa mnyama kabisa! Wakati anaingia ikuru alikuwa humble sana, ndio wakati nilipata ajira baada ya msoto wa mzee baba for seven years.sijui niwashauri wake au ni yeye!
 
WALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDA
Hujafikiria vizuri kaka; mambo yetu yanaenda kwa msaada wa Wazungu. Bajeti yetu iko financed na wao over 40% of it; this means hata hayo ma VX V8 tunayaendesha kwa fedha zao; fikiria hivi, "waamue kuto kutupatia msaada wowote halafu waanze kudai madeni yao, unahisi unaweza kuandika hiki ulicho kiandika?" Ubabe unawafaa wanao jiweza, ombaomba kama sisi hatuna jeuri ya kuwabishia wazungu na tuka survive walau kwa miezi 2; hatuna hiyo jeuri
 
Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.

Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.

View attachment 3379700

Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
maovu ya samia?
 
Hili ndo gazeti na TV mbaya sana kuliko CNN. Hawa wanashughulika na Business Reports zaidi, wanasababisha watu wanaopenda demokrasia wakatae kuja kuwekeza. Mambo kama haya yanasababisha uwekezaji kuwa chini sana. Kwa upande mwingine turekebishe haya mambo, tuko na sababu zote wawekezaji kuja. Reforms(kisheria na jinsi viongozi wanavyoendesha nchi) zinatakiwa. Tumekosa wawekezaji wengi sana kwa sababu siasa zetu haziaminiki. Mfano muwekezaji anayependa demokrasia na anayetoka nchi ambayo ni ya kidemokrasia hawezi wekeza kwa kujiamini na akalipa kodi kwenye nchi ambayo itatumia kodi hizo kunyanyasa raia. Tuna nchi nzuri sana. Tusiilinde kwa uchoyo/ubinafsi wa kuteka wengine hili tubaki madarakani. Kwa mfano wengine hatuko kwenye siasa, tunachotaka kuwe na utulivu wa hiari si wa kulazimishwa na polisi. Utulivu wa hiari ndo uzalendo wenyewe. Utulivu na amani ya hiari unafanya kila mtu aipende nchi. Utulivu wa kulazimishwa unasababisha watu kuchukia viongozi na nchi
Samia ni tofauti kabisa na JPM huwa anakwenda huko huko na wanamuona kwenye mikutano mikubwa.

Mwinyi na Samia ni business minded wanajua kujichanganya. Zenji kuanzisha shirika lake la ndege ni kwa sababu Rais Mwinyi anafika kila mahali na anajua kujenga hoja zenye kuvutia wawekezaji.

Samia pia anafahamu faida za nchi kufunguka, hana kabisa hulka za kijamaa za kumuona kila mgeni mwizi mwenye kutaka kuiba na kuondoka eti akikuacha na ulofa wako.
 
Back
Top Bottom