Ule speaker wa dunia umezidisha mateso kwa wapinzani mradi tu uspeaker wa nchini uendelee sambamba navwa dunia.Kama kuna namna ya kuuchukua waubebe tu maana hatuthamini haki za raia wetu na huo mhimili unajifanya kipofu kupitia boss wake
Sio tu mateso kwa wapinzani, bali ni kwa Watanzania wote wapenda haki.Ule speaker wa dunia umezidisha mateso kwa wapinzani mradi tu uspeaker wa nchini uendelee sambamba navwa dunia.
At the same time East Africa Law Society(EALC) walikua na mkutano mkubwa ulokua umepangwa kufanyikia Zanzibar, ila wamebadilisha venu na kuupelekea Addis Ababa kwa kuhofia usalama wa wanasheria wao. What kind of a Country is this?Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Duh hatari sana image inazidi kuchafukaAt the same time East Africa Law Society(EALC) walikua na mkutano mkubwa ulokua umepangwa kufanyikia Zanzibar, ila wamebadilisha venu na kuupelekea Addis Ababa kwa kuhofia usalama wa wanasheria wao. What kind of a Country is this?
Ngoja uje utekwe! Watekaji hawana rafiki wa kudumu!WALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDA
Hakuna anachofanya hivi sasa ambacho hakimulikwiUkianza kula nyama ya mtu huachi
Sio hadi atekwe. Anadhani ataendelea kupata hivyo vishilingi vya pesa za rushwa. Ngoja wanaume wafanye yao ndo ataona uchungu wa udhalimuNgoja uje utekwe! Watekaji hawana rafiki wa kudumu!
Walianza Wall Street Journal saivi wamekuja Bloomberg. Wanagonga nyundo za utosini tu.Hili ndo gazeti na TV mbaya sana kuliko CNN. Hawa wanashughulika na Business Reports zaidi, wanasababisha watu wanaopenda demokrasia wakatae kuja kuwekeza. Mambo kama haya yanasababisha uwekezaji kuwa chini sana. Kwa upande mwingine turekebishe haya mambo, tuko na sababu zote wawekezaji kuja. Reforms(kisheria na jinsi viongozi wanavyoendesha nchi) zinatakiwa. Tumekosa wawekezaji wengi sana kwa sababu siasa zetu haziaminiki. Mfano muwekezaji anayependa demokrasia na anayetoka nchi ambayo ni ya kidemokrasia hawezi wekeza kwa kujiamini na akalipa kodi kwenye nchi ambayo itatumia kodi hizo kunyanyasa raia. Tuna nchi nzuri sana. Tusiilinde kwa uchoyo/ubinafsi wa kuteka wengine hili tubaki madarakani. Kwa mfano wengine hatuko kwenye siasa, tunachotaka kuwe na utulivu wa hiari si wa kulazimishwa na polisi. Utulivu wa hiari ndo uzalendo wenyewe. Utulivu na amani ya hiari unafanya kila mtu aipende nchi. Utulivu wa kulazimishwa unasababisha watu kuchukia viongozi na nchi
Hujafikiria vizuri kaka; mambo yetu yanaenda kwa msaada wa Wazungu. Bajeti yetu iko financed na wao over 40% of it; this means hata hayo ma VX V8 tunayaendesha kwa fedha zao; fikiria hivi, "waamue kuto kutupatia msaada wowote halafu waanze kudai madeni yao, unahisi unaweza kuandika hiki ulicho kiandika?" Ubabe unawafaa wanao jiweza, ombaomba kama sisi hatuna jeuri ya kuwabishia wazungu na tuka survive walau kwa miezi 2; hatuna hiyo jeuriWALA HATUJALI TUNACHOJALI MAMBO YETU YANAENDA
Kinga imeshaondolewa,Nimeota kuwa hata ule u rais wa bunge la dunia uko matatani kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini.
maovu ya samia?Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.
View attachment 3379700
Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Kumbe ya nani? Umesoma habari?maovu ya samia?
Samia hana uovu wowote,hizo ni propaganda za watu wasiokuwa na maono yoyoteKumbe ya nani? Umesoma habari?
Mdude yupo wapi? Soka yupo Wapi? Amani Manengelo yupo wapi? Chaula yupo wapi? Ally Kibao yupo wapi?Samia hana uovu wowote,hizo ni propaganda za watu wasiokuwa na maono yoyote
Samia ni tofauti kabisa na JPM huwa anakwenda huko huko na wanamuona kwenye mikutano mikubwa.Hili ndo gazeti na TV mbaya sana kuliko CNN. Hawa wanashughulika na Business Reports zaidi, wanasababisha watu wanaopenda demokrasia wakatae kuja kuwekeza. Mambo kama haya yanasababisha uwekezaji kuwa chini sana. Kwa upande mwingine turekebishe haya mambo, tuko na sababu zote wawekezaji kuja. Reforms(kisheria na jinsi viongozi wanavyoendesha nchi) zinatakiwa. Tumekosa wawekezaji wengi sana kwa sababu siasa zetu haziaminiki. Mfano muwekezaji anayependa demokrasia na anayetoka nchi ambayo ni ya kidemokrasia hawezi wekeza kwa kujiamini na akalipa kodi kwenye nchi ambayo itatumia kodi hizo kunyanyasa raia. Tuna nchi nzuri sana. Tusiilinde kwa uchoyo/ubinafsi wa kuteka wengine hili tubaki madarakani. Kwa mfano wengine hatuko kwenye siasa, tunachotaka kuwe na utulivu wa hiari si wa kulazimishwa na polisi. Utulivu wa hiari ndo uzalendo wenyewe. Utulivu na amani ya hiari unafanya kila mtu aipende nchi. Utulivu wa kulazimishwa unasababisha watu kuchukia viongozi na nchi