Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

Mjue tunaweza mlaumu yeye sana kumbe haya anaelekezwa na msoga. Halafu msoga anajifanya nayeye ni muangaliaji kama sisi, duniani mtu mnafiki, anakuuwa huku anakuchekea...✍️
Nilikuwa nagombana sana na Sukuma gang kipindi kile wanampa makavu Mzee wa Msoga. Ila saivi nawaelewa sana Suguma Gang. Yule mzee wa Msoga do chanzo cha mkwamo wa hili Taifa kutokana na kuendekeza kwake maslahi binafsi.
 
 

Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
Mjue tunaweza mlaumu yeye sana kumbe haya anaelekezwa na msoga. Halafu msoga anajifanya nayeye ni muangaliaji kama sisi, duniani mtu mnafiki, anakuuwa huku anakuchekea...✍️
Wacha visingizio ni upumbavu kuongoza na mwanamke haya ndiyo mavuno yake
 
Hivi wazee wenu walipigania Uhuru wa Tanganyika ili iwaje ?
Leo unasimama kwa ujasiri kutaka mataifa mengine yaingilie uhuru wenu wa kufanya mambo yenu na mtu anaona ni jambo la kuwa proud of, nyie madogo sijui mkoje. Mnatakiwa kuelewa kuwa mabadiliko ya kweli kamwe hayawezi kuletwa na nchi za mabeberu kama wananchi mnaendekeza ushilawadu. Over.
 
Nilikuwa nagombana sana na Sukuma gang kipindi kile wanampa makavu Mzee wa Msoga. Ila saivi nawaelewa sana Suguma Gang. Yule mzee wa Msoga do chanzo cha mkwamo wa hili Taifa kutokana na kuendekeza kwake maslahi binafsi.
Kabisa, watu wengi wanamkwepa kwa makusudi ama hawajui kwamba ndiye master mind wa haya yote. Mali alizonazo sasa ni za vitukuu sijui vining'ina kuja kutumia.

Leo mtake Katiba Mpya, reforms za uchaguzi ili aje mtu makini, amshtaki kwa ufisadi wabebe mali zote atakubali? Lazima damu nyingi itamwagika.
 
Hakuna mtu selfish kwenye hili Taifa kama huyu mzee.

Ukiwasikiliza na Mke wake anavyoongeaga kule Bungeni utaelewa kwa nini Taifa hili linakwama kiasi hiki.
 
Wazungu ni wanafki tu, hao hao unaosema wataacha kuja kuwekeza bongo kwa sababu hakuna Demokrasia ndio waliofanya uwekezaji mkubwa wa viwanda kule china pamoja na kwamba wanaituhumu china kutokuwa na demokrasia. Fikiria upya kuhusu interest za hao mabeberu.
 
Lazimisheni tu kufanya uchaguzi wenu dhalimu muone mnavyoshindwa kulipa mishahara ya Wanajeshi na Watumishi ws Umma baada ya vibano kuwa heavy.

Deni la Taifa limefika Trilioni 107 alafu mnaleta kiburi?? Mbuzi wa kijani nyie.
Chawa Na Serikali Wanalibeba Hili Jambo Kiwepesi Ila Baadaye Hawataweza Kumlipa Yoyote Salary
 
Wadau ukiwa nje ya mfumo raha mno. Yaani unaona uzaifu wa kila aina. Enzi zile kwa Dkt Magufuli mimi nilikuwa pia sioni hahaha
 
Naomba nikujibu japo hukuwa umeniuliza mimi hili swali. Ni hivi, Tanzania hasa nikiongelea Tz bara toka mwanzo wa Nyerere mfumo alioutengeneza kwa nchi, hakuna kuhoji, hakuna kukataa ni kama nchi inaongozwa na Mfalme au Malkia.

Hii nidhamu ya uoga ndiyo imepelekea baadhi ya wakuu wa nchi nyingine, kusema kutawala Tz ni rahisi sana ni kama unaongoza maiti n.k
Watu wachache, wakapata ujasiri wa kuhoji mambo yanavyokwenda, ndiyo hao wakaanza kutekwa toka enzi za msoga.

Ili kutisha watu ikaanza kukutwa watu kwenye viroba, haikurudisha nyuma watu imeendelea mpaka sasa japo watu wengi wamepotea katika mazingira ya kutatanisha, wameuliwa ila tulipotoka na tulipo, mwanga unaonekana. Katika msitu wa simba wengi, bado kuna watu iwe wanaongea kwenye mitandao, wanatokea hadharani kuna mahali tumefika.

Taratibu mambo yataenda unapokuwa mikono mitupu, wao wanakuja na mitutu na mabomu. Lazima akili mbadala itumike, ili kufika panapotakiwa, haya mataifa yana nafasi yao wakati huu, na taratibu Watanzania wanaamka katika usingizi wa pono.
 
Hao wazungu nao hawaijui kesho yao, wewe unawahusudu. Kweli umekatwa kichwa. Allah yupo ndo mkweli wa kutegemewa. Usitishe watu
 
At the same time East Africa Law Society(EALC) walikua na mkutano mkubwa ulokua umepangwa kufanyikia Zanzibar, ila wamebadilisha venu na kuupelekea Addis Ababa kwa kuhofia usalama wa wanasheria wao. What kind of a Country is this?
Nchi inakoelekea ni kubaya.
 
Duh hatari sana image inazidi kuchafuka
Nchi ambayo hata wanasheria wa Kanda hawaheshumiki, kutoka kudharau utawala wa Sheria ndani ya nchi mpaka kikanda. Deportation and abduction bila significant reasons! Tanzania ya Samia ni ya hovyo sana
Kwa kweli.
 
Samiah ni mwizi na fisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…