Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

Na Mimi pia anibariki
 
Kama wanatutetea tusitekwe na kuuliwa na viongozi tuliowapa madaraka wenyewe hao ndiyo marafiki wa kweli, adui mkubwa wa watanzania kwa sasa ni serikali yao wenyewe.
Mzungu gani anakutetea wewe ?
Huo upendo wake kwako umeanza lini ?
 
Nilikuwa nagombana sana na Sukuma gang kipindi kile wanampa makavu Mzee wa Msoga. Ila saivi nawaelewa sana Suguma Gang. Yule mzee wa Msoga do chanzo cha mkwamo wa hili Taifa kutokana na kuendekeza kwake maslahi binafsi.

Wanasema ilikuwa nyumba ndogo yake, hivyo lazima aicontrol kama anavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…