Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu?
Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu ya mwanamke, au akimnyoshea kidole?
Wadau, je maneno haya yana ukweli au ni mtazamo wake au upendeleo wa kijinsia?
Tujadili.