Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
- Thread starter
- #21
Shetani yupo, haijalishi unaamini au huamini.Ukiwa unaaamini kwenye shetani tayari umeshaharibika na ndiyo maana hao wachungaji uchwara wanakuambia ujinga na unatuletea hapa.
Sahihi kabisa, mwanamke ni nguzo muhimu ya maisha, Kwa maana hiyo ili maisha au jamii iharibike basi ni lazima nguzo hiyo iwe chanzo.Ila kwa muktadha wa maisha ya kawaida, mwanamke ni chimbuko la uhai, umezaliwa na mwanamke na nguvu ya mwanamke kwenye maamuzi, kwenye ushawishi, kwenye kujenga, au kubomoa familia na jamii kwa ujumla ni kubwa kuliko ambavyo wanaume wengi mko tayari kuadmit.