"Wakati Shetani anaamua kuharibu jamii, huanza na wanawake.”

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,564
Reaction score
8,810



Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu?

Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu ya mwanamke, au akimnyoshea kidole?

Wadau, je maneno haya yana ukweli au ni mtazamo wake au upendeleo wa kijinsia?

Tujadili.
 
Wewe wanawake unaonga wanatumia akili??
 
Mchungaji yuko sahihi ndo maana shetani kaamua kuwatumia Mange Kimambi na Maria Sarungi kuleta machafuko.
 
Ukiwa unaaamini kwenye shetani tayari umeshaharibika na ndiyo maana hao wachungaji uchwara wanakuambia ujinga na unatuletea hapa.

Ila kwa muktadha wa maisha ya kawaida, mwanamke ni chimbuko la uhai, umezaliwa na mwanamke na nguvu ya mwanamke kwenye maamuzi, kwenye ushawishi, kwenye kujenga, au kubomoa familia na jamii kwa ujumla ni kubwa kuliko ambavyo wanaume wengi mko tayari kuadmit.
 
Ungeiweka bayana tu kuwa kwanini mwanamke katika mazingira magumu ya maamuzi huwa anajitazama yeye na wanaomhusu tu na huwezi kuta anachagua watu wengine au jamii inayomzunguka.

Kimsingi ni asili ya kimaumbile. Mwanamke si kiongozi wa jamii bali wa watoto chini ya himaya ya mwanaume anayemtunza na kumpa muongozo.

Ukimpa mwanamke uongozi then mwanaume anayemuamini na kumpa usalama ndie atakaekuwa anampa direction ya nini cha kufanya na wapi pa kwenda.

Ndio sababu mataifa makubwa yote huwezi kuta maeneo muhimu na nyeti wataweka mwanamke kwa maana ni rahisi ku'compromise usalama wa taifa zima.

Saa hii tumejionea, bunge lilikuwa na spika mwanamke angalia matunda ya utendaji wake, tazama uraisi saa hii tunachopitia.

Kwakifupi tutakichezea sana hadi akili itukae sawa next time balaza la mawazili na sehemu zote tutakuwa makini kuweka wanaume ngangari na sio Masimp(wanaume wanaoegemea upande wa kike) na kuweka mafeminist serikalini.
 
Si mmeona Samia Suluhu anavyoongoza nchi kwa emotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…