"Wakati Shetani anaamua kuharibu jamii, huanza na wanawake.”

Ukiwa unaaamini kwenye shetani tayari umeshaharibika na ndiyo maana hao wachungaji uchwara wanakuambia ujinga na unatuletea hapa.
Shetani yupo, haijalishi unaamini au huamini.
Sahihi kabisa, mwanamke ni nguzo muhimu ya maisha, Kwa maana hiyo ili maisha au jamii iharibike basi ni lazima nguzo hiyo iwe chanzo.
 
Sahihi kabisa mkuu, wanawake japo ni watu muhimu katika jamii lakini pia ni watu hatari hasa wakipewa majukumu makubwa kuliko uwezo wao.
 
Lakini mbona wapo viongozi wengine wanawake na wanafanya vizuri katika nafasi zao

Kwasababu watanzania wengi wamekwenda shule lakini hawana elimu. Elimu yetu Tanzania ni mbovu
 
Adam, Samson, Ayubu hawa walikutana na majaribu toka kwa wanawake. Kwa kiasi kikubwa wanawake ndio wanatumiwa na mashetani kuaribu jamii.
 
waanze kujadili lile tawi lao la vijana wa hihovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…