Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.

Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.
Screenshot_20250222-124959.jpg
 
Hapo vip!!

Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.

Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Simba haijawahi cheza final shirikisho, shirikisho lilianza 2003
 
Hapo vip!!

Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.

Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Endelea kujipa moyo 😊😊
 
Baeleze hadi baelewe. Baambie pia hata hiyo Klabu Bingwa haikuwa inaitwa hivyo mwanzoni.
Baambie pia kombe la shirikisho maana yake kombe la taasisi hiyo ya mpira. Leo linaitwa kombe la shirikisho la CRDB, jana lilikuwa linaitwa la Azam, lakini yote hayo ni kombe la shirikisho hilo hilo la TFF. Hiyo tiketi inaonyesha CAF Cup, ndiyo kombe la shirikisho hilo!
 
Hapo vip!!

Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.

Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Sema Simba ndio timu ya kwanza kucheza fainali ya KOMBE LA ABIOLA!
 
Leta picha kama zile za yanga wachezaji wakivishwa medali ya ushindi wa pili vinginevyo itakuwa ni kichekesho kama vichekesho vingine
 
Ngoja nimsaidie mleta mada

1000054219.jpg

1000054218.jpg

1000054220.jpg

Tena Simba ndiyo timu pekee Tanzania iliyowahi kuleta Kombe la CAF katika uwanja wa Tanzania. Ndiyo maana mimi naombea Simba ikifika fainali tena mwaka huu ikutane na USMA badala ya Berkane maana mechi ya pili ya fainali itachezwa Tanzania na kombe litakuwa tena uwanjani.
 
Hapo vip!!

Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.

Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Kipindi hicho Lili kuwa bonaza na mdhamini wa hilo bonaza alikuwa Abiola Sasa hivi ndio shilikisho kweli

Sasa chezeni fainali na mwaka huu kama nyinyi ni vidume
 
Ngoja nimsaidie mleta mada

View attachment 3245493
View attachment 3245495

View attachment 3245502
Tena Simba ndiyo timu pekee Tanzania iliyowahi kuleta Kombe la CAF katika uwanja wa Tanzania. Ndiyo maana mimi naombea Simba ikifika fainali tena mwaka huu ikutane na USMA badala ya Berkane maana mechi ya pili ya fainali itachezwa Tanzania na kombe litakuwa tena uwanjani.
Asante kwa ufafanuzi na elimu pia,hawa watoto wa 2000 wanaosoma kutumia smart phone..hawasomi vitabu hawawezi kuelewa
 
Back
Top Bottom