Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Simba haijawahi cheza final shirikisho, shirikisho lilianza 2003Hapo vip!!
Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.
Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Endelea kujipa moyo 😊😊Hapo vip!!

Baambie pia kombe la shirikisho maana yake kombe la taasisi hiyo ya mpira. Leo linaitwa kombe la shirikisho la CRDB, jana lilikuwa linaitwa la Azam, lakini yote hayo ni kombe la shirikisho hilo hilo la TFF. Hiyo tiketi inaonyesha CAF Cup, ndiyo kombe la shirikisho hilo!Baeleze hadi baelewe. Baambie pia hata hiyo Klabu Bingwa haikuwa inaitwa hivyo mwanzoni.
Sema Simba ndio timu ya kwanza kucheza fainali ya KOMBE LA ABIOLA!Hapo vip!!
Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.
Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Mimi nilikuwepo..Hapa Stella Andjan..mdhamini bia ya Stella ArtoisAliyekuhadithia kakupotosha.
Ngoja nimsaidie mleta madaLeta picha kama zile za yanga wachezaji wakivishwa medali ya ushindi wa pili vinginevyo itakuwa ni kichekesho kama vichekesho vingine
Kwa hiyo ligi ya mabingwa ikibadilishwa jina ubingwa wa Al ahly wote aliowahi kupata unafutwa.Simba haijawahi cheza final shirikisho, shirikisho lilianza 2003
Kipindi hicho Lili kuwa bonaza na mdhamini wa hilo bonaza alikuwa Abiola Sasa hivi ndio shilikisho kweliHapo vip!!
Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.
Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini kama Ligi kuu..mara NBC,mara vodacom n.k isikuchanganye.View attachment 3245174
Asante kwa ufafanuzi na elimu pia,hawa watoto wa 2000 wanaosoma kutumia smart phone..hawasomi vitabu hawawezi kuelewaNgoja nimsaidie mleta mada
View attachment 3245493
View attachment 3245495
View attachment 3245502
Tena Simba ndiyo timu pekee Tanzania iliyowahi kuleta Kombe la CAF katika uwanja wa Tanzania. Ndiyo maana mimi naombea Simba ikifika fainali tena mwaka huu ikutane na USMA badala ya Berkane maana mechi ya pili ya fainali itachezwa Tanzania na kombe litakuwa tena uwanjani.
Kusema ukweli kwa kutumia data na evidence nikutumia nguvu?anayetumia nguvu ni mtu anayebishana na ukweli..Mbona mnatumia nguvu sana😆k