Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

Mananihii ya kale hayanuki
 
Kwa hiyo ligi ya mabingwa ikibadilishwa jina ubingwa wa Al ahly wote aliowahi kupata unafutwa.
Hoja nzuri. Hapa gongowazi watapinga.

Hata champions league ya ulaya tunayoiona leo haina miaka mingi tangu ianzishwe ila Real Madrid anahesabiwa vikombe vyake vyote hata kabla haijabadilishwa na kuita Champions League.

Wabongo huwa tunachambua mambo kwa kuangalia ushabiki sio facts. Simba ndio timu ya kwanza kufika fainali za kombe la shirikisho Afrika.
 
Kipindi hicho Lili kuwa bonaza na mdhamini wa hilo bonaza alikuwa Abiola Sasa hivi ndio shilikisho kweli

Sasa chezeni fainali na mwaka huu kama nyinyi ni vidume
Acha kujitekenya. Wakati kombe la dunia linaanza unajua mdhamini alikuwa ni nani na ni nchi ngapi zilikuwa zinashiriki? Lakini rekodi ya nchi zilizochukua ubingwa wakati ule bado hadi leo zinasomeka kuwa zilichukua kombe la dunia wakati kuna nchi chache tu ndio zilishiriki.

Udhamini, muundo au mabadiliko ya kuendesha michuano fulani haibadilishi historia kwa timu zilizoshiriki. Hiyo ni fact
 
MWanzo makombe yalikua matatu, na baadae yakaja kua mawili. Sioni likizungumziwa hili
 
WAJINGA WANAZIDI KUWA WENGI SANA TANZANIA.
NENDA WEBSITE YA CAF USOME VIZURI HALAFU UJE HAPA UANDIKE UPYA
 
na wewe unahesabu nini licha ya kombe kubadilishwa?
 
Ubishi wa ngomani mmakonde lazima amdondoshe mngoni.
 
Kipindi hicho Lili kuwa bonaza na mdhamini wa hilo bonaza alikuwa Abiola Sasa hivi ndio shilikisho kweli

Sasa chezeni fainali na mwaka huu kama nyinyi ni vidume
Angalia usije kutuambia kuwa Uruguay haikuwahi Kuwa Bingwa wa Kombe La Dunia kwa kuwa michuano ilikuwa na timu 13 tu.
 
Watu wa Yanga huwa hawana akili. Leo hii ukiwauliza Yanga ana makombe mangapi ya Ligi Kuu watahesabu yote aliyotwaa hata wakati ule Inaitwa "Ligi Daraja la Kwanza". Ila Kwa Simba wanapinga kuwa ile fainali haikuwa ya Shirikisho.

Labda tuwaulize ",Yanga ana makombe mangapi ya Ligi Kuu!?"
 
Abiola alipo uwawa na Rais wa Nigeria Samy Abacha na kombe lenyewe likafa.
 
Data na evidence vikiwepo manake kila mtu hujionea
Kuanzishia uzi ndo tunapoona nguvu inatumika sasa

Abiola alipo uwawa na Rais wa Nigeria Samy Abacha na kombe lenyewe likafa.
princess ariana mnaleta mada na post za upotoshaji halafu mkiletewa evidence na facts mnakimbilia kudai mtu anatumia nguvu. Mnataka mjinafasi kwa uongo. Muone kama huyu mwezio. Mnatakiwa mtulipe, inawezekana tunawalaumu bure kumbe hamjui hata mambo mnayoongelea.

UPOTOSHAJI ALERT:

 
Asa tuwalipe nini jamani wana Mthimbazii mbona mnatuuzia kesi 😆
Tufanye basi kweli nyie wakwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…