Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

All in all mzee mpili kuna video vijana wamemrekodi wakiwa na nia ya kumchafua na wamemuweza mzee anatukana yulee dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anamwambia
Ndo mana ukilewa wenzako wanakutooooo...toa out
 
Huyu ndiye huyo mtambo wa matusi? Wamnunulie meno
 
Hao ndo Yanga wa Jangwani jinsi akili zao zilivyopauka.
 
We jamaa ingawa ni Yanga lakini una akili zako wallah.
Naamini ipo siku utahama huo mtimu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…