Wakati sina pesa benk ilikataa kunikopesha leo na pesa wanalazimisha ni kope.

Wakati sina pesa benk ilikataa kunikopesha leo na pesa wanalazimisha ni kope.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Miaka 2016 nilikuwa na changamoto ya mtaji ili ni boost kufikisha malengo.

Ila nilipo waomba benk waligoma kabisa japo nilikuwa na account yao.

Nimejikokota we mungu si dotto magari mambo yapo mazuri.

Sasa ule mzunguko wa import na export pesa kwenye account kila siku wana lazimisha ni kope.

kwa nini ni siwakopeshe pesa zangu wanipe faida,wao wanataka kunikopesha pesa zangu ni wape faida wao.
 
Mikopo ni biashara ya benki mkuu na wewe ndio mteja wa mikopo hiyo. Hivyo hawawezi kukupa mkopo wakati huwezi/hukidhi vigezo vya kununua/kupewa huduma hiyo.

Uzoefu wangu na benki; Benki itakuwa karibu na wewe pale tuu ambapo inanufaika na wewe, kwa kuweka akiba nzuri na kutumia huduma zao. Kinyume na hapo benki inakutumia kama kondomu tuu. Kuna kipindi flani wao mwenyewe walinishauri niingie kwenye Overdraft, lakini baada ya hela kupungua walisitisha Overdraft tena bila taarifa rasmi. 😊
 
Back
Top Bottom