Mikopo ni biashara ya benki mkuu na wewe ndio mteja wa mikopo hiyo. Hivyo hawawezi kukupa mkopo wakati huwezi/hukidhi vigezo vya kununua/kupewa huduma hiyo.
Uzoefu wangu na benki; Benki itakuwa karibu na wewe pale tuu ambapo inanufaika na wewe, kwa kuweka akiba nzuri na kutumia huduma zao. Kinyume na hapo benki inakutumia kama kondomu tuu. Kuna kipindi flani wao mwenyewe walinishauri niingie kwenye Overdraft, lakini baada ya hela kupungua walisitisha Overdraft tena bila taarifa rasmi. 😊