BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ruto pamoja na jana kupewa makavu kule Space ila amesema ataendelea kuwepo Space ili kusikiliza raia zaidi.
Kule watu wamemchana live kiasi kwamba ingekuwa ni kiongozi hata Mkuu wa wilaya Tanzania kachanwa vile, leo kungekuwa na jamm ya matamko na press conference zisizo kuwa na idadi kuanzia na wale wajinga wa UVCCM, wale manabii, wale waigizaji uchwara na watu wengine. Tanzania hata kumkosoa mtendaji wa kata ni dhambi sana achilia mbali mkuu wa wilaya.
Kama umefuatilia ile mjadala utakubaliana na mimi kwamba inahitajika roho ya paka kwa Raia kuwepo pale Space na kwa Tanzania hata kwa kiongozi wa kawaida kama Mkuu wa wilaya hawezi weza ule mziki, hawa wetu ni Mungu watu.
Ukiachana na hayo huku Bongo watawala wanawaza jinsi ya kuifungia X kwa sababu inatukana viongozi na viongozi wetu ni Malaika hawapaswi kutukanwa wala kukosolewa, make wakitukanwa watakufa.
Ruto katukanwa sana tena live ila still yeye ni Raisi wa Kenya.
Tanzania watu kama UVCCM na wale Manabii matapeli wanawaza ni lini Serikali itaifungia mtandao wa X